Wanaume wavaa hereni wanaposhusha heshima ya Bunge letu

Wanaume wavaa hereni wanaposhusha heshima ya Bunge letu

Kuna wanaume wa Kihehe wanaovaa hereni?
Muulize Kigosi sio mimi ndgu!!
Muulize kwa nini kavaa hereni.

Hii hoja yenu ya tamaduni za mtanzania wakati tamaduni hatuna ndio tatizo linaanzia hapo.
 
Acha wivu wewe usiyevaa mbona huitwii??
Vijana wa siku hizi mna mihemko Sana,

Sijui kama unajua kuwa Spika wa kwanza wa Bunge alikuwa anaitwa nani?

Sina uhakika kama unajua Bunge kwa Dar es Salaam lilikuwa linafanyikia wapi na Dodoma pia?
 
Tatizo lenu mnaangalia watu wanavyovaa kuliko matendo yao.

Ndiyo maana waheshimiwa wengi wanawaibia mabilioni huku wamevaa suti.

Halafu huyo Kikaragosi kuvaa hereni tu anawarusha roho.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu naelezea tu mambo kwa mantiki, na hata ningekuwa rangi ya upinde kweli si hatari hivyo, ni uamuzi wa maisha ulio katika haki za watu za kikatiba na Universal Declaration of Human Rights tu. Ni nyie nchi za kimasikini tu msiojua maana ya personal autonomy ndio mnaingiliana sana kwenye mfumo wa maisha wa mtu binafsi. Hiyo ni dalili ya umasikini wa fikra.

Kwa hivyo usione kutaja hizo habari za upinde ndiyo kunanitisha au kuni gaslight nisitumie uhuru wangu wa kujieleza kwa kuogopa nitaonekana jamii ya upinde. Unaji expose ulivyo hopelessly homophobe tu.

Hi habari imenikumbusha siku moja miaka mingi awali.Mwaka 2009 kama sikosei.

Kuna siku nilikuwa nimetoka kazini Wall St. NYC, nimepiga bonge la suti yangu ya Savile Row.

Nikawa narudi home, lakini kabla ya kufika home nikasema ngoja nishuke treni ya Subway hapo Harlem kumuona bidada fulani alikuwa barafu wa moyo, ndiyo kwanza tunaanzanaanzana hapo.

Sasa katika kukutana na yule bidada, nikawa najishaua mwenyewe vipi sijui na ile suti yangu. Ikawa kama habari za kujiangalia suti ilivyonitoa vizuri.

Yule dada akasema suti nzuri sana, imenitoa vizuri kama Denzel Washington fulani hivi, lakini akasema yeye haangalii sana uzuri wa suti, kashaona majambazi wengi sana wanavaa vizuri sana kwa nje, lakini ndani wana tabia za kuua watu, na watu wazuri wengi sana wanavaa vibaya kwa muonekano wa nje lakini tabia zao za ndani ni nzuri.

Alinikumbusha kuhusu umuhimu wa kuwaangalia watu kwa depth, kwa kina, kwa tabia na matendo yao, si kwa kuangalia wanavaaje na wanapendeza vipi kwa nje.

Sasa hizi habari za jamii masikini za kuhukumu watu kutokana na muonekano wa nje zitatucost sana.

Ndiyo hizi zinawafanya majambazi wenye suti waendelee kutuibia huku tunawaita waheshimiwa, halafu watu wengine wakivaa hereni kidogo tu, tunawaona ovyo.

Ndiyo maana umasikini hauishi.

Mimi nimemuheshimu sana Ray, kwa sababu ametuonesha Ray ni yule yule, akiwa mtaani mpaka bungeni anavaa kihereni chake vilevile.

Hajataka kubadilisha style yake bila ya sababu ya msingi kwa sababu kaingia bungeni tu.
Pita kwa mangi mkuu, Bill juu yangu.
Umejua kunifurahishaaaaaa!!!
 
Nimeshangaa hata jana ikulu kwenye hafla ya mama kuna boya alionekana kavaa heleni
 
Kwahiyo kwenye scanner anavua na hereni? Shida kwelikweli...itabidi wanawake waachane na uvaaji wa hereni make tayari zimepokonywa na baadhi wa wanaume wajinga ili tuone kama wataendelea kuvivaa.
Lengo la baadhi wa wanaume kuvaa hereni ni kuwa na mwonekano kama wakike.
 
Muulize Kigosi sio mimi ndgu!!
Muulize kwa nini kavaa hereni.

Hii hoja yenu ya tamaduni za mtanzania wakati tamaduni hatuna ndio tatizo linaanzia hapo.
Kwanza kwenye makabila ya Tanzania kuna wanaume kibao wanavaa hereni.
 
Kwanza kwenye makabila ya Tanzania kuna wanaume kibao wanavaa hereni.
Bongo hatuna kitu inaitwa utamaduni wa mtanzania, haipo kama ipo watuoneshe imeandikwa wapi.
Achana na nchi hata makabila tu, tamaduni ni za kurithishana kitu ambacho kizazi kimojawapo kinaweza kubadili upepo kirahisi.
 
Usenge wao unatuhusu nn cc kama taifa? Mnajifanya hampendi usenge hapa lakini mkiwa faragha mnawaingilia wanawake kinyume na maumbile na kusifiana
Na wewe ni senge tu,huna lolote
 
Awamu hii Haina tofauti na ile ya msoga wanaopewa kipaumbele ni watu wa hovyo hovyo tu na mambo ya hovyo hovyo.
 
Back
Top Bottom