Wanaume wavaa hereni wanaposhusha heshima ya Bunge letu

Wanaume wavaa hereni wanaposhusha heshima ya Bunge letu

Tatizo lenu mnaangalia watu wanavyovaa kuliko matendo yao.

Ndiyo maana waheshimiwa wengi wanawaibia mabilioni huku wamevaa suti.

Halafu huyo Kikaragosi kuvaa hereni tu anawarusha roho.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Point
 
Habari wapendwa,

Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.

Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbal...

Hilo bunge ambalo zaidi 70% wako bungeni kwa uchaguzi wa kishenzi lina heshima gani? Mnaingia bungeni kwa njia za kishenzi, kisha mnataka heshima msizostahili!
 
Habari wapendwa,

Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.

Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbali.

Moja kati ya waliotambulishwa ni Vicent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa amevaa hereni kitu ambacho kimaadili yetu kama Watanzania siyo sawa.

Ninachojiuliza, Je Bunge limeruhusu vipi Jambo hili?

Je hii siyo kushusha heshima ya Bunge kwa Mtoto wa Kiume kuvaa hereni Bungeni?

Nawasilisha
View attachment 2647774
Sio bunge lile, sema kisanyiko la wana kijani flan waliowekwa pale na Marehemu
 
Habari wapendwa,

Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.

Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbali.

Moja kati ya waliotambulishwa ni Vicent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa amevaa hereni kitu ambacho kimaadili yetu kama Watanzania siyo sawa.

Ninachojiuliza, Je Bunge limeruhusu vipi Jambo hili?

Je hii siyo kushusha heshima ya Bunge kwa Mtoto wa Kiume kuvaa hereni Bungeni?

Nawasilisha
View attachment 2647774
Tulishasema hakuna Bunge kumbe hata akivaa heleni hakuwa bungeni ila tunaweza kusema alikuwa mnadani.
 
Kwani Wakialikwa wavaa hereni wewe huendi chooni??Wavae wasivae,,waalikwe wavaa hereni au wasio vaa hereni,,,naamini haileti ahueni kwenye maisha yako ya kawaida!!!
 
Unashangaa wavaa hereni tena ni waalikwa tu bungeni wakati kuna wabunge wanavaa shanga huko bungeni?

Acha ushamba [emoji23][emoji23]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]
 
Habari wapendwa,

Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni...
Huyo Kigozi ni nani? Anajihusisha na nini? Muwe mnaandika vizuri mnaelezea. Mnadhani sisi ndugu zenu tunawafahamu?
 
Utamduni wq mtanzania ni kufanyaje??
Hamnaga utamaduni jumuishi hapa tz watu wanaiahi kulingana na mila za makabila yao.
 
Back
Top Bottom