Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 41,488
- 64,800
Nadhani ni ile hali ya kutokujua wapi nivae nini; na hii inasababishwa na kutokuwa na menejimenti nzuri
Wewe shogs nini! Yani mwanaume kutoga masikio ndio usasa! Shetani mkubwaUnashangaa wavaa hereni tena ni waalikwa tu bungeni wakati kuna wabunge wanavaa shanga huko bungeni?
Acha ushamba 😂😂
Bungeni kuna sanaa gani?Huyo ni msanii. Unataka avae kama wewe Fundi Gereji?
Tuliambiwa kuna wabunge wanapita dirishani, huenda naye kapeleka hudumaHabari wapendwa,
Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.
Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbali.
Moja kati ya waliotambulishwa ni Vicent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa amevaa hereni kitu ambacho kimaadili yetu kama Watanzania siyo sawa.
Ninachojiuliza, Je Bunge limeruhusu vipi Jambo hili?
Je hii siyo kushusha heshima ya Bunge kwa Mtoto wa Kiume kuvaa hereni Bungeni?
Nawasilisha
View attachment 2647774
Kuna Bunge hapo? Huo ujinga kwa nchi za Kusini mwa janhwa la Sahara upo Tanzania pekee, hakuna nchi nyingine ina huo ujingaHabari wapendwa,
Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.
Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbali.
Moja kati ya waliotambulishwa ni Vicent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa amevaa hereni kitu ambacho kimaadili yetu kama Watanzania siyo sawa.
Ninachojiuliza, Je Bunge limeruhusu vipi Jambo hili?
Je hii siyo kushusha heshima ya Bunge kwa Mtoto wa Kiume kuvaa hereni Bungeni?
Nawasilisha
View attachment 2647774
Mi Mbunge wa wapi kwani?1, Twilumba
Bulshit,.....acha wivu mkuu hata wewe ungejitahidi hata kucheza mpira ungeingia tu au unaona bungeni ni paradiso???Vijana wa siku hizi mna mihemko Sana,
Sijui kama unajua kuwa Spika wa kwanza wa Bunge alikuwa anaitwa nani?
Sina uhakika kama unajua Bunge kwa Dar es Salaam lilikuwa linafanyikia wapi na Dodoma pia?
Wapo wabunge wa kiume "wanaopakatwa"Unashangaa wavaa hereni tena ni waalikwa tu bungeni wakati kuna wabunge wanavaa shanga huko bungeni?
Acha ushamba 😂😂
Subhanallah!Hebu wataje angalau mtu mbili tu mkuu.Wapo wabunge wa kiume "wanaopakatwa"
Hilo bunge la Magufuli halijwahi kuwa na heshima yoyote.Habari wapendwa,
Lao bajeti ya Wizara ya Habari ilikuwa ikisomwa Bungeni.
Lakini kabla ya Bajeti hiyo kulikuwa na utambulisho wa Watu mbalimbali.
Moja kati ya waliotambulishwa ni Vicent Kigosi (Ray) ambaye alikuwa amevaa hereni kitu ambacho kimaadili yetu kama Watanzania siyo sawa.
Ninachojiuliza, Je Bunge limeruhusu vipi Jambo hili?
Je, hii siyo kushusha heshima ya Bunge kwa Mtoto wa Kiume kuvaa hereni Bungeni?
Nawasilisha