NIMPENDENANI
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 6,114
- 5,397
- Thread starter
- #81
Asante mkuu kwa ushauri na nnajitahidi kulishinda hili.........Kuwa makini na kuwa na msimano juu ya maisha yako achana nae fataki huyo
Asante mkuu kwa ushauri na nnajitahidi kulishinda hili.........Kuwa makini na kuwa na msimano juu ya maisha yako achana nae fataki huyo
Du!Mpaka kufikia hapo basi huyo jamaa anataka kukuvua chu.....,kuwa makini na kila linaloendelea sasa maana kama ana uwezo kifedha basi ujue pia ana uwezo wa kufuatilia nyendo za mumeo,cha msingi ni kuwa na msimamo kama kweli unampenda mumeo na ndoa yako na chukulia hili kama changamoto nyingine ambazo umewahi kuzishinda,mweke Mungu wako mbele na atakuvusha katika kizingiti hiki ulichonacho.Alinikera zaidi pale alipo niambia MUMEO kwani hana mwengine nje anao tele na anakutekenya tuu mwarabu yule njoo kwa dume la mbegu nikupe raha,nilisikia kama vile ananikita na kisu chenye ncha kali,na ukizingatia ni mtu mzima hana aibu hana..
Ahsante kwa ushuri,na nimepitia kwenye vishawishi vingi na hawakua wabishi kama huyu mzee wengine ukiwambia nakuheshimu sana na nampenda mumewangu wanaelewa lakini huyu ukisema hivyo anakwambia maneno makali yani roho inauma mpaka nalia,kuna siku alinambia unadhani mumeo hana totoz nilishangaa akasema nenda kwenye cm yake ndio utajua kama hauko peke yako.....nimemwambia nimeshampa ruksa mumewangu kama anataka kuoa sawa sheria 4 sasa kama anaweza kutumudu sina neno lakini roho iliniuma nikalia peke yangu........Du!Mpaka kufikia hapo basi huyo jamaa anataka kukuvua chu.....,kuwa makini na kila linaloendelea sasa maana kama ana uwezo kifedha basi ujue pia ana uwezo wa kufuatilia nyendo za mumeo,cha msingi ni kuwa na msimamo kama kweli unampenda mumeo na ndoa yako na chukulia hili kama changamoto nyingine ambazo umewahi kuzishinda,mweke Mungu wako mbele na atakuvusha katika kizingiti hiki ulichonacho.
Mkuu nimemwambia siku ya pili baada ya ile siku nilomsaidia kua huyu babau simuelewi akacheka akasema na wewe kwakujitia Uhajat,nikamfata tena kumwambia ameleta chakula kasema na mie nipeni,imeletwa simu nikamwambia
ndipo alipo nambia mchune weeeeeeeee,sasa namuona nae sie vile vile
Samahani lakini.. mimi nadhani kuna tatizo kwa wanawake wengi katika issue kama yako...hivi mtu anakusumbua muda wote huo na wewe humtaki unapokeaje zawadi zake, unaendeleaje kumsikiliza kila siku anapokuja, leo amekuletea simu umepokea..... Kwetu sisi wanaume kukataa kwenu haimaanishi kuwa hamtupendi kama mtaendelea kupokea zawadi zetu na kuzungumza nasi nicely.... kama humtaki tumia herufi kubwa akuelewe na akiendelea mpambanishe na huyo mumeo au mpenzi wako ila mazingira unayoyaendeleza nakuapia ipo siku yatakugharimu. wanaume huwa tu- waelewa sana lakini kwa wanawake walio serious na wanachokisema.
Boss wangu namuheshimu as ni my boss na vilevile nimtu mzima,na heshima ni kitu cha bure,ana ishi karibi na sisi nimepanga weekend nimuombe aje nyumbani nionge nae ili nimueleze anielewe kua sifurahishwi na jambo na tabia ya yule mzee na inshallah atanielewa la ikiwa bado ndio ntatafuta njia....Pole sana, kama hakuna njia nyingine ya kufikisha malalamiko yako na haki ikatendeka basi hiyo ofisi yenu ina tatizo.
Kwa sababu kwa hali hiyo, ingebidi ulifanye hili jambo kiofisi na kwa kuweka rekodi kabisa, ila hapo naona bosi wenu nae maadili ya kazi yameenda likizo kwa sasa.
Lakini ipitie tena signature yako....
''You have a choice, you can either work hard at being yourself and being wildly attractive, or you can aim to please everyone around you.''
Nauliza tu simu umeipokea iphone 6????
Huwa hatuulizi swali kama hilo huyu mtu mzima hahahaaaa simu kapokea bana anaanzaje kuiacha???[/QUO
Apana nimeirejesha sijachukua.......
Sikiza Mama mary eee, nakupa mbinu ya mwisho...ukiitumia uwe imara kikweli !! (hapa kwetu kuna TEAM ya kushughulikia wakware wa aina hiyo "fixers " ) wanajua kazi zao.nimempa huyo driver wake arejeshe na yeye pia nimemwambia asante nimerejesha zawadi asante....
Mkuu hiyo ndio aibu nisio itaka yani hata jeuri hiyo sina mwenzio usinione hivi yule babu akinambia kitu kinachoniuma roho nalia huka kote naanzaje?Sikiza Mama mary eee, nakupa mbinu ya mwisho...ukiitumia uwe imara kikweli !! (hapa kwetu kuna TEAM ya kushughulikia wakware wa aina hiyo "fixers " ) wanajua kazi zao.
Huwa hatuulizi swali kama hilo huyu mtu mzima hahahaaaa simu kapokea bana anaanzaje kuiacha???[/QUO
Apana nimeirejesha sijachukua.......
Owkey na mungu akutie nguvu kwa kweli muombe sana mungu maana shetani sio mtu mzuri yani ni mbaaaaaaaaaaaayaaa (joti voice)
Ukhtii Karima, Kulia kwako siyo kinga, Hebu sima sawasawa na imara usionyeshe udhaifu kwa maRijali , peleka ripoti na ujumbe kwa Bwanako, wahusika wa karibu ili wakusaidie vilivyo.Mkuu hiyo ndio aibu nisio itaka yani hata jeuri hiyo sina mwenzio usinione hivi yule babu akinambia kitu kinachoniuma roho nalia huka kote naanzaje?
wallah nimeacha uchungu nikacheka duuu...
Hili swali ndo nilitaka niulize,umenisaidia kiliuliuza. Ngoja nisome majibu yake halafu nimshauri. Ahsante Mkuu tinna cuteNauliza tu simu umeipokea iphone 6????
Mkuu NIMPENDENANI hongera km kweli hujachukua hiyo iPhone 6,km umeweza hilo bado jambo moja tu! Mwambie ukweli kuwa umeolewa na huwezi kusaliti ndoa yako. Mwambie pia boss wako kuwa huyo mzee anakutongoza na hupendi kabisa hali hiyo. Hapo ndo utajua km boss ni kuwadi au la!!Apana nimerudisha na yule driver aloleta na nikamwambia asante .
Hili swali ndo nilitaka niulize,umenisaidia kiliuliuza. Ngoja nisome majibu yake halafu nimshauri. Ahsante Mkuu tinna cute
Mkuu NIMPENDENANI hongera km kweli hujachukua hiyo iPhone 6,km umeweza hilo bado jambo moja tu! Mwambie ukweli kuwa umeolewa na huwezi kusaliti ndoa yako. Mwambie pia boss wako kuwa huyo mzee anakutongoza na hupendi kabisa hali hiyo. Hapo ndo utajua km boss ni kuwadi au la!!
Ukhtii Karima, Kulia kwako siyo kinga, Hebu sima sawasawa na imara usionyeshe udhaifu kwa maRijali , peleka ripoti na ujumbe kwa Bwanako, wahusika wa karibu ili wakusaidie vilivyo.
Sidhani kama ushauri wako ni sahihi.Huyu ni mke wa mtu na inampasa kukataa kwa maneno na vitendo kwa kutoikubali hiyo simu.Zawadi chukua lakini usisaliti ndoa yako, kweni umemuomba si atoa kwa mapenzi yake. Yaani wanaume sometimes nashindwa kuwaelewa.