Wanaume wasioelewa somo

Wanaume wasioelewa somo

Apana dada siwezi,nimekinai siwezi sina nyingi lakini Alhamdulillah simu sioni kama ni chamana kuliko Heshima yangu..

Ok mwambie habari hii utaifikisha kwa mumeo....mueleze boss wako kuwa mtu wake ni msumbufu na hutopenda kudeal nae masuala ya kazi. Block his number.
 
The little head is sometimes very clever and smart to the Biger one. Just understand tu kwa kweli. vinginevy hakuna utetezi mwingine.
Zawadi chukua lakini usisaliti ndoa yako, kweni umemuomba si atoa kwa mapenzi yake. Yaani wanaume sometimes nashindwa kuwaelewa.
 
Mungu annusuru na babu yule,sikufichi sipendi kuharibu familia ya watu sababu najua vp inauma nimepitia mashaka hayo na sitotaka kumfanyia hata adui yangu.

Ukisikia majaribu ndo hayo lol.. Uzuri wake ni kwamba ukiyashinda hilo jaribu utajisikia amani sana moyoni mwako..
 
Inawezekana na Bosi wake anajua mchezo wooote. Wakati mwingine baadhi yetu tuko hivyo... Unamwambia tu 'naona kabinti pale ofisini kwako bwana mkubwa vipi unamchukua nini?'' "sina habari naye, vipi unautaka ule mzigo nini?'' wewe tu boss wangu.........
Ok mwambie habari hii utaifikisha kwa mumeo....mueleze boss wako kuwa mtu wake ni msumbufu na hutopenda kudeal nae masuala ya kazi. Block his number.
 
The little head is sometimes very clever and smart to the Biger one. Just understand tu kwa kweli. vinginevy hakuna utetezi mwingine.
Yeah I cant agree more, maaana wengine wanachukua risk kubwa just to satisfy the small head.
 
NIMPENDENANI
Ila kama haumpendi mbona zawadi zake akikupa hauzirudishi unabaki nazo wewe lipa tu hilo deni kiungwana tu hata hivyo miaka 52 sio mingi sana ukilinganisha na wewe mwenyewe utakuwa lazima ni mzee coz kama mimba ya kwanza uliipata ukiwa around 25 na ukiweka interval ya 3 years maana yake una karibia kufika 40yrs so mtunuku mzee mwenzio
 
Last edited by a moderator:
Inawezekana kabisa huyo mzee anataka kupendwa tu si lazima ngono,yaani mtu asikupende basi cha kwanza kufikiria ni ngono!Naamini kabisa kuwa wazee wengine wanakuwa wanakosa mapenzi kwenye nyumba zao hivyo inawezekana kabisa akawa anataka tu umpende,sema nae ujue kama ni mvua chu.....ndio uchukue uamuzi.
Alinikera zaidi pale alipo niambia MUMEO kwani hana mwengine nje anao tele na anakutekenya tuu mwarabu yule njoo kwa dume la mbegu nikupe raha,nilisikia kama vile ananikita na kisu chenye ncha kali,na ukizingatia ni mtu mzima hana aibu hana..
 
Apana nimerudisha na yule driver aloleta na nikamwambia asante .
hivi nyie si ndo mnaendaga kwa waganga msipotokewa acha kujishaua we mpe upunguze mkosi kitu chenyewe umepewa bure wa kukihudumia kapatikana sa unashindwa nini kua na kidumu kama ndoo unayo?
 
Inawezekana na Bosi wake anajua mchezo wooote. Wakati mwingine baadhi yetu tuko hivyo... Unamwambia tu 'naona kabinti pale ofisini kwako bwana mkubwa vipi unamchukua nini?'' "sina habari naye, vipi unautaka ule mzigo nini?'' wewe tu boss wangu.........
kweli viumbe wa ajabu nyinyi
 
Namwombea mumeo asijaribu kukuudhi wakati huu ambao hujawa na maamuzi. Maana maudhi wakati huu yanaweza kuwa mshauri mkubwa wa kusaliti ndoa yako.
^^
 
Ukichukua hizo unazoziita zawadi ndio mwanzo mpya wa yeye kujiaminisha kuwa anamiliki sehemu ya maisha katika maisha yako. Ukikataa hana namna ya kujiaminisha kuwa umemuweka pending na siku moja umkubalie. Firmly stay away from him.
 
Of which is your favourate!!! hahahahaaaaa. Ina sehemu kubwa sana kwenye maamuzi ya Mwanaume... Ndio maana hata maandiko yamewatahadharisha wanaume ''Chunga sana ulimi wako uwapo kifuani mwa mwanamke'' kwa sababu inajulikana what can happen kwa mwanaume anayezisikiliza sana tamaa zake.
Yeah I cant agree more, maaana wengine wanachukua risk kubwa just to satisfy the small head.
 
Hahahaaaaa kweli wewe ni NIMPENDENANI.. vipi Iphone umepokea? Jibu ninalo.
Kinachokusumbua wewe ni UMRI wake mkubwa sana au ni NIA na Nadhiri yako kwako mwenyewe, umpendaye n.k?

Tuanzie hapo kwanza.

Sio umri wake hata kidogo,tabia yake Nampenda sana mumewangu juu ya mapungufu alokua nayo kama binadamu wengine, nawapenda wanangu na nnamuomba sana mungu anipe umri niwaone waki graduate nakupata malezi bora na mapenzi ya wazazi wote wawili... huyo babu nadhani anatumia nafasi yake lakini nazidi kumuomba mungu ampeperushe..
 
kilichoumbwa na mungu kumnyima mwenzio dhambi

1 john 4:8

Whoever does not love does not
know God, because God is love.
 
Ukichukua hizo unazoziita zawadi ndio mwanzo mpya wa yeye kujiaminisha kuwa anamiliki sehemu ya maisha katika maisha yako. Ukikataa hana namna ya kujiaminisha kuwa umemuweka pending na siku moja umkubalie. Firmly stay away from him.
Kama utaniamini ijumaa ilopita ameleta chakula kazini sikula na nimemwambia mie chakula nachukua kutoka nyumbani
ameleta chakula cha watu 10 sijakitia mdomoni,na nimeomba leave ya 2weeks nipumzike amenikera sana mwisho amenambia eti wachana na visafari vya kazini kwako unalipwa pesa ya njugu ntakutengenezea safari ukafanye shopping nilisikia kumtukana lakini siwezi sababu namuona kama my Dad, niliishia kulia tuu.. naona ananiwangia.
 
kilichoumbwa na mungu kumnyima mwenzio dhambi

1 john 4:8

Whoever does not love does not
know God, because God is love.

Changu kina mwenyewe yeye atafute mwengine..........
 
Hongera sana. Endelea kijisimamia na wafanye wafahamu hivyo. Utakuwa umemaliza kazi yako

Imeandikwa ''MPINGENI shetani naye ATAWAKIMBIA - Yakobo 4:7'' na kinyume chake pia ni kweli -Tized

Sio umri wake hata kidogo,tabia yake Nampenda sana mumewangu juu ya mapungufu alokua nayo kama binadamu wengine, nawapenda wanangu na nnamuomba sana mungu anipe umri niwaone waki graduate nakupata malezi bora na mapenzi ya wazazi wote wawili... huyo babu nadhani anatumia nafasi yake lakini nazidi kumuomba mungu ampeperushe..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom