Wanaume wasioelewa somo

Wanaume wasioelewa somo

Imeandikwa wapi hio kiongozi? Andiko ulilonukuu halina uhusiano wowote na ulichoandika.
kilichoumbwa na mungu kumnyima mwenzio dhambi

1 john 4:8
Whoever does not love does not
know God, because God is love.
 
Ok mwambie habari hii utaifikisha kwa mumeo....mueleze boss wako kuwa mtu wake ni msumbufu na hutopenda kudeal nae masuala ya kazi. Block his number.
Nilisha Block ndio mana ameleta simu akasema niweke kwa ajili yake tuu ndio hiyo Iphone 6 niloirejesha...
na boss nadhani anajua ila anapewa pesa manake nimesha mwambia wazi na mpaka sms nimemuonyesha
kasema ah na wewe simchune tuuuuuuu ndio mana nimechukua likizo 2weeks nifikirie naweza kuacha kazi.
Mume wangu kwakweli siwezi kumwambia sababau hataki nifanye kazi anataka nikae nyumbani ila mimi ndio nataka kufanya kazi sipendi kutegemea mume.
 
Huyo boss wako ni ME au KE? anakuambia umchune ukiona ivyo nae kunafaida aipata kupitia huyo baba ndomana akung'ang'aniza tu hapo
Nilisha Block ndio mana ameleta simu akasema niweke kwa ajili yake tuu ndio hiyo Iphone 6 niloirejesha...
na boss nadhani anajua ila anapewa pesa manake nimesha mwambia wazi na mpaka sms nimemuonyesha
kasema ah na wewe simchune tuuuuuuu ndio mana nimechukua likizo 2weeks nifikirie naweza kuacha kazi.
Mume wangu kwakweli siwezi kumwambia sababau hataki nifanye kazi anataka nikae nyumbani ila mimi ndio nataka kufanya kazi sipendi kutegemea mume.
 
hivi nyie si ndo mnaendaga kwa waganga msipotokewa acha kujishaua we mpe upunguze mkosi kitu chenyewe umepewa bure wa kukihudumia kapatikana sa unashindwa nini kua na kidumu kama ndoo unayo?
Hakuna kitu kizuri kama kuridhika na ulichokua nacho,kuna wengine wanataka mume alhandulillah mungu amenipa,kuna wanaotaka watoto alhamdullah mungu amenipa na anikuzie,sasa namfata huyu babu nini alichokua nacho ambacho mumewangu hawezi kunipa ? kama pesa zake kama mali zake,hazinishughulishi mie kafikia mpaka kuniita mshamba lakini naona mshamba yeye .....
 
Iphone 6 umepokea sasa tukusaidie vipi we malizana nae tu
 
Jiweke hadhir !! Babu wa watu asije kufa kifuani kwako, ukabebeshwa kesi ya mauaji !! Just kaza roho mrudishie hayo manyangarikata(Gifts,Ifon6,etc) mbele za watu, ili ajitambue.
 
Mungu annusuru na babu yule,sikufichi sipendi kuharibu familia ya watu sababu najua vp inauma nimepitia mashaka hayo na sitotaka kumfanyia hata adui yangu.

wallah laitani ungejua nikiasi gani nawapenda mwenyezi mungu ndio shahidi,na ataninusuru inshallah..

Apana nimerudisha na yule driver aloleta na nikamwambia asante .

Mungu atakusaidia kuvuka huu mtihani na utakua msaada kwa wengine. Furaha ya kushinda hili jaribu ni kubwa mno na haifanani na chochote atakachokufanyia/kupatia huyo babu.

Kwani ofisi yenu haina nmna ya kuakilisha dukuduku zenu kwa njia bora kama mtu unaona hautendewi haki? Japo ni vigumu lakini unaweza kutafuta njia bora ya namna ya kumweleza bosi wako juu ya wasiwasi wako juu ya hili suala.

Huenda anavyoona kila akikupa amri ya kumsaidia huyo babu unatekeleza anafikiria unafurahia hilo jambo.

Ubarikiwe
 
hivi tangu aanze kukusumbua, umeshamwambia mumeo...?
 
Mkuu nimemwambia lugha zote mpaka nimemwambia nampenda sana mumewangu hakuna kitu hanipi na am happy kwelnye ndoa yangu,jibu kanambia hawezi kunipenda mumewangu kama anavyo nipenda yeye sasa unadhani mzima huyo mtu?

Mzima sana,anajitoa fahamu tu!
Ungeanza na bosi kwanza,halafu huyo mso haya unamalizia tu. Umhudumie weye tu kwani ana special need gani ambayo wengine hawaiwezi?
Mweleze ukweli boss wako anayejifanya kuwadi mzoefu.
 
Jiweke hadhir !! Babu wa watu asije kufa kifuani kwako, ukabebeshwa kesi ya mauaji !! Just kaza roho mrudishie hayo manyangarikata(Gifts,Ifon6,etc) mbele za watu, ili ajitambue.
nimempa huyo driver wake arejeshe na yeye pia nimemwambia asante nimerejesha zawadi asante....
 
hivi tangu aanze kukusumbua, umeshamwambia mumeo...?

Inategemea how understanding he is,kuna mijanaume ukimwambia tu umenunua kesi!
Tena ukitaja hiyo iPhone 6 plus na huku yeye alikununulia Motorolla L7 ndio kabisaaaa atakwambia umeichukua!
 
[/B][/COLOR]Mzima sana,anajitoa fahamu tu!
Ungeanza na bosi kwanza,halafu huyo mso haya unamalizia tu. Umhudumie weye tu kwani ana special need gani ambayo wengine hawaiwezi?
Mweleze ukweli boss wako anayejifanya kuwadi mzoefu.
wallah laitani ungejua nisivyo penda kubishana na mtu alonizidi umri,napenda kucheka napenda utani lakini ujinga sitaki..
 
wallah laitani ungejua nisivyo penda kubishana na mtu alonizidi umri,napenda kucheka napenda utani lakini ujinga sitaki..

Heri yako.
Mie siumizwi kichwa na upumbavu wa mtu,namstahi anayejistahi tu!
 
Mungu atakusaidia kuvuka huu mtihani na utakua msaada kwa wengine. Furaha ya kushinda hili jaribu ni kubwa mno na haifanani na chochote atakachokufanyia/kupatia huyo babu.

Kwani ofisi yenu haina nmna ya kuakilisha dukuduku zenu kwa njia bora kama mtu unaona hautendewi haki? Japo ni vigumu lakini unaweza kutafuta njia bora ya namna ya kumweleza bosi wako juu ya wasiwasi wako juu ya hili suala.

Huenda anavyoona kila akikupa amri ya kumsaidia huyo babu unatekeleza anafikiria unafurahia hilo jambo.

Ubarikiwe
Mkuu nimemwambia siku ya pili baada ya ile siku nilomsaidia kua huyu babau simuelewi akacheka akasema na wewe kwakujitia Uhajat,nikamfata tena kumwambia ameleta chakula kasema na mie nipeni,imeletwa simu nikamwambia
ndipo alipo nambia mchune weeeeeeeee,sasa namuona nae sie vile vile
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom