kilichoumbwa na mungu kumnyima mwenzio dhambi
1 john 4:8
Whoever does not love does not
know God, because God is love.
Huyo anataka kukuongezea Virusi vya ukimwi
we naeeeeee
ungechukua cm
kwani ulimuombaaaa??
Shikilia msimamo if u real don't want him.eka sura ya kazi
binadamu wote sio sawa Mkuu wako walozowea zogo na wengine hatuja zowea..
Huwa hatuulizi swali kama hilo huyu mtu mzima hahahaaaa simu kapokea bana anaanzaje kuiacha???
ooooh!!!! unaomba ushauri wa nini???? kama humtaki usiseme kwa maneno na vitendo pia
Habari za Mchana wana MMU,
Kuna mbaba janamani aliwahi kuja kazini kwangu Boss akanambia nimsaidie kazi yake, basi amekua msumbufu
mara kaleta zawadi mara napenda harufu ya Perfume yako, na amekua kila anapokua na shida hata kama
yupo wa kumsaidia nilazima aje kazini kunitafuta ,nikaanzisha kua akija wamwambie sipo, sasa Boss wangu
anajitia haelewi somo hata wenzangu wakimwambia hayupo anapiga kwa boss na boss ananiita mbele
yake mpaka natahayari,nimemwambia nimeolewa nna watoto4..
Anasema mungu akuweke lakini nifikirie na mimi, leo kaniletea cm iPhone 6 Plus kasema hii weka ili tuongee iwe ni mimi tuu nakupigia manake akipiga cm nakua sipokei simu zake.
Ananila roho sipati kusema na nimemwambia kanambia nisaidie kukutoa moyoni mwangu la sivyo .....
hakumalizia yani nasikia vibaya na yule Baba sio mdogo anafika 52 ebu wenye mawazo anisaidie
nakosa raha na huyu mbaba.
Ohh, kwa hali nionayo waonekana shaksia ulielelewa na familia yenye maadali na adabu nzuri. Nakushajiisha uendelee kukomalia msimamo wako wakutodanganyika kiurahisi. Heshima kwenu wote na Maasalama mbeleni.Silii mbele yake yeye ila nahisi dhiki sina wakumwambia langu nahisi vipi au natakaje, mamangu ndio alikua msiri wangu baada ya kufariki yeye sijazowea langu kumwambia mtu na ndio mana nalia sijui Kama unanifahu, yani it's not easy for me at all.. Nalia sina mshauri niko na dada zangu Lakini hawato nielewa naongea nini na sitaki mtu anipe kitu ile kunisikilizaa na nikafarika kua anafahamu naongea nini au nini dhamira yangu pia inatosha.. Wallah sorry nahisi Kama nakukeraaa na dhiki zangu, inshallah kheir....
Habari za Mchana wana MMU
Kuna mbaba janamani aliwahi kuja kazini kwangu Boss akanambia nimsaidie kazi yake,basi amekua msumbufu
mara kaleta zawadi mara napenda harufu ya Perfume yako, na amekua kila anapokua na shida hata kama
yupo wa kumsaidia nilazima aje kazini kunitafuta,nikaanzisha kua akija wamwambie sipo,sasa Boss wangu
anajitia haelewi somo hata wenzangu wakimwambia hayupo anapiga kwa boss na boss ananiita mbele
yake mpaka natahayari,nimemwambia nimeolewa nna watoto4..
Anasema mungu akuweke lakini nifikirie na mimi,leo kaniletea cm Iphone 6 Plus kasema hii weka ili tuongee
iwe ni mimi tuu nakupigia manake akipiga cm nakua sipokei simu zake.
Ananila roho sipati kusema na nimemwambia kanambia nisaidie kukutoa moyoni mwangu la sivyo .....
hakumalizia yani nasikia vibaya na yule Baba sio mdogo anafika 52 ebu wenye mawazo anisaidie
nakosa raha na huyu mbaba.........