bornagain
JF-Expert Member
- Jan 25, 2012
- 3,383
- 1,360
Habari za Mchana wana MMU,
Kuna mbaba janamani aliwahi kuja kazini kwangu Boss akanambia nimsaidie kazi yake, basi amekua msumbufu
mara kaleta zawadi mara napenda harufu ya Perfume yako, na amekua kila anapokua na shida hata kama
yupo wa kumsaidia nilazima aje kazini kunitafuta ,nikaanzisha kua akija wamwambie sipo, sasa Boss wangu
anajitia haelewi somo hata wenzangu wakimwambia hayupo anapiga kwa boss na boss ananiita mbele
yake mpaka natahayari,nimemwambia nimeolewa nna watoto4..
Anasema mungu akuweke lakini nifikirie na mimi, leo kaniletea cm iPhone 6 Plus kasema hii weka ili tuongee iwe ni mimi tuu nakupigia manake akipiga cm nakua sipokei simu zake.
Ananila roho sipati kusema na nimemwambia kanambia nisaidie kukutoa moyoni mwangu la sivyo .....
hakumalizia yani nasikia vibaya na yule Baba sio mdogo anafika 52 ebu wenye mawazo anisaidie
nakosa raha na huyu mbaba.
Kama umeshachukua hiyo Iphone 6 wataka msaada gani tena? Hapo ni kula na kulipa