Wanaume warefu...

Jaman Leo hata siwasalimii....najua nimechokoza nyuki...
Nyie wanaume warefu mnakwama wapi mbona mnaongoza kwa vibamia na urefu wenu tulitegemea muwe na mizigo ya maana ya kutufikisha kwenye kilele cha mlima...
Mwanaume akiwa tall basi kwenye boksa kuna kipisi tu...anyway ndo mlivyo si kosa lenu...
Acha kutufedhehesha wewe!
Umekutana na nani huyo?

Mbona sisi warefu ndiyo mabaharia wa Atlantic Ocean?

Rudia utafiti wako please.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom