Wanaume wapole na wakimya tuna shida katika kutongoza ila tunaongoza kwa kuwa na wanawake wasio waongeaji

Wakimya ndio wanakuaje mkuu... Naomba tofaouti kati ya mkimya na mpole
Mtu mkimya huwa haongei sana just because maslah yake hayajaguswa ila jaribu kuhujum mambo yake either kwa kumuongelea au kumtendea isivyo halaf akajua au akasikia ndipo utamfaham undani wake.Kiufupi kufunga kwake kinywa husitiri tabia yake ya ndani.

Mtu mpole bwana mara nyng pia huwa sio muongeaji sana ingawa hata akiwa anaongea huwa na nature ya utaratibu.Ana busara kwa mambo mengi anayofanya ana kufanyiwa.Unaweza mtenda lakin akatumia njia zisizo za kuumiza ili kutatua jambo.Ni mtu ambaye anatanguliza maslah ya wengine zaid kuliko yy.Huwa na kama ujinga flan hiv mpaka unajiuliza huyu nae mzima au??maana unaweza mkanyaga akakuvulia tu au akakueleza kwa upendo kabisa.Huyo ndio mtu mpole

Kwa jinsi ninavyofaham mm
 
Hapo nimekuelewa vyema mkuu
 
Unaweza fanya ujinga lakini watu wanakukingia kifua kabisa. "Huyu hapana hawezi"

Yaani unasimamiwa kidete kabisa.
 
Hahaha Bora ulivyo sema aise
 
Kupitia uzi huu basi JF imebarikiwa kuwa na watu wapole sana!

Ngoja na sisi wakorofi tukafungue uzi wetu
 
Hii hali inanitesa Sana
Najaribu kuficha uhalisia ila inashindikana

Ila kuhusu wanawake Mimi ni kipanga
 
"Mtu mkimya huwa haongei sana just because maslah yake hayajaguswa ila jaribu kuhujum mambo yake either kwa kumuongelea au kumtendea isivyo halaf akajua au akasikia ndipo utamfaham undani wake.Kiufupi kufunga kwake kinywa husitiri tabia yake ya ndani."

Mkuu uko vizuri. Kumbe watuelewa vema.
 
Mzee na mm nimo.Wasionijua wananionaga mpole ila wanaonifaham hawanaga hamu na mm..
 
Mzee na mm nimo.Wasionijua wananionaga mpole ila wanaonifaham hawanaga hamu na mm..
 
Hasaaa! Tabu kwngu inapokujiaga ni pale ninapotokagwa na jasho lain mikonon, na kukaukiwa na mate koon!

Acheni jamani kutongoza kaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…