Wanaume wangekuwa kama nyuki dume

Wanaume wangekuwa kama nyuki dume

sio ipo sku mpaka sasa shetan anaiogopa sana dhambi ya ufirauni.
Mwanadamu anapoanza kuf i ra iwe kwa mwanamke au mwanaume shetan hukimbia kabisa na hujificha ili asione hicho kitendo..

hivi kumbe neno "ufirauni" linatokana na neno "----"? Nilifikiri ufirauni unatokana na neno farao kumaanisha ukatili kama wa farao kwa waisrael na ndo maana kukawa na methali "ukishangaa ya musa utaona ya firauni"?
 
ungenidokeza inasemaje? Mm sjaifaham.

Alleged proposals to allow Egyptian
husbands to legally have sex with their
dead wives for up to six hours after
their death....and women have the right
to have sex with her dead husband.?
 
hivi kumbe neno "ufirauni" linatokana na neno "----"? Nilifikiri ufirauni unatokana na neno farao kumaanisha ukatili kama wa farao kwa waisrael na ndo maana kukawa na methali "ukishangaa ya musa utaona ya firauni"?

Mgirik ...ametumia assumption theory kisa... funolojia zinaendana. Badala ya kutumia Semantiki!

Wajuzi wa kiswahili wataelewa.
 
Alleged proposals to allow Egyptian
husbands to legally have sex with their
dead wives for up to six hours after
their death....and women have the right
to have sex with her dead husband.?

Mhhhhhhh kali aisee ina maana wengine wameisha hii ngumu aisee
 
Mhhhhhhh kali aisee ina maana wengine wameisha hii ngumu aisee

Mambo ya Musil..m brother hud.. Ndio maana waling'olewa...nadhani.

To me is totally non sense! Sijui wengine.

Bora usife aisee!
 
hivi kumbe neno "ufirauni" linatokana na neno "----"? Nilifikiri ufirauni unatokana na neno farao kumaanisha ukatili kama wa farao kwa waisrael na ndo maana kukawa na methali "ukishangaa ya musa utaona ya firauni"?

haimaanishi hvyo ila japo niliwahi kusikia sehem kuwa huyo jamaa alikuwa na kamtindo ka kuf ra . Lakn mm hapo nmetumia kwa vile hilo neno hujulikana hivyo kwa jamii yetu
 
Alleged proposals to allow Egyptian
husbands to legally have sex with their
dead wives for up to six hours after
their death....and women have the right
to have sex with her dead husband.?

mmmmh! Aisee hyo mbona inatisha?! Hivi hawa jamaa wanaakili kweli.
 
Akili wanazo si ndio maana kuna ile Swarat Al gegedo...anapigiwa marehemu mpaka kitu kinajibu.. mama anajishindia vyake!
mmmmh! Aisee hyo mbona inatisha?! Hivi hawa jamaa wanaakili kweli.
 
Mazoea au kushabiana kwa matamshi wakati mwingine uharibu maana halisi ya neno, mfano imezoeleka jina KIHIYO imetohoshwa kuelezea fojali katika taaluma, au namba fulani ya simu kuelezea kiungo.
umejibu vzr kama ulikuwa kwenye ntu gwangu
 
Tupe ukweli mkuu ni upi! Labda wataalam wetu hawajaweka sawa takwimu!
kuna siku nilisoma kitabu kilikua kimeandika hivi, natafsiri kwa kiswahili. "nyuki ambaye ni mfalme kama hajapandiwa anatoa mayai ya majike watupu na akipandiwa anatoa mayai ya madume watupu" je! wewe unakubaliana nayo?
 
Back
Top Bottom