Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,937
- 53,969
Suti zinawakaa shukuru
[emoji23][emoji23][emoji23]Natamani kitambi aseee, niwe nafutia kioo cha infinix yangu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena TPB BANK.Pole sana ila hongera kwa kujikubali, mtu mnene hata ukienda kuomba mkopo ni rahisi kupata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah amemezwa.Mwanaume ukiwa mwembamba sana nayo ni tabu[emoji23][emoji116]View attachment 1809992
Haa haa haa mie mule nitakuwa na negative [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] tena TPB BANK.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa yaanAlikuwa bado anakula huyo kinachonenepesha ni kula hakuna kitu kingine mabonge yanapenda kula mnoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama mimi mikiwatongoza wananiita mzee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini lolHaa haa haa mie mule nitakuwa na negative [emoji23][emoji23]
Nilitupia siku nyingi siku moja nikachukua zangu laki sijarudi tena na wakata kila mwezi [emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwanini lol
Watu wanene ni watu poa sana.Sema watu wanene hawana roho mbaya.
Watu wanene ni watu poa sana.