Wanaume wanene tunanyanyasika sana

Wanaume wanene tunanyanyasika sana

Unene sio ugonjwa, kama ni unene wakijiweza sio inshu ila kama ni ule wa kujishindwa ni inshu.
 
Sometimes nikifikria nitoe hiki kitambi changu
Nakuja kugundua mtoto wangu ataegamia wapi?
 
Nimemkumbuka jamaa bonge wa tangazo la Airtel "una chaja"
 
Unene sina lkn dah hiki kitambi kimesababisha mpaka najichukia, wife ananitania eti nitakosa watoto wazuri huko mitaani

Sent from my SM-A217F using JamiiForums mobile app
 
Wanaume wenye vitambi ukiwakopesha kulipa madeni huwa ni vita. Kwa kifupi hawaaminiki.
 
Si bora wanene,sisi wafupi ni kama vichekesho vya kufurahisha warefu..mara ndio maana una mawazo mafupi mara wafupi Wana matatizo yaani upuuzi tuu ilimradi warefu kujiinua na kujiona bora
 
Back
Top Bottom