wanaume wanaume wanaume...jiangalieni jamani

Mbona hata women wanatema mbaya tena zaid ya men
 
hivi si ni hawa hawa wanawake wanaosema kila siku humu ndani kuwa mwanaume pesa vingine tutavumiliana?

eti miss chagga

tutavumiliana ila kila ukileta mdomo nakwepa na style za kufanya mambo yetu itakuwa ile style ya wanyama tu hakuna kupandiana
 

Uvundo square!!!
 

Ndio maana ulipewa macho ya kuona, pua ya kunusa na ulimi wa kulamba dada... ili uweze kuchagua.
 
Ndo maana Mungu alimuumba msaidizi ambaye ni mwanamke je umewahi kuona mume wa mtu ananuka hicho kikwapa au mdomo? kama yupo ujue ameoa galasa, kiasili mwanaume hajijali anachojali kama amehudumia familia yake kama inavyotakiwa jiulize swali dogo tu ni kwanini wanaume ndani ya familia wana nguo chache si kama mwanamke? wengine hata tusipoletewa mafuta huwa hatukumbuki kama kuna kujipaka mafuta mara pafyumu aaah!................................
 
Usifikiri wote ndio wachafu huyo wa kwako ndio usifikiri wote ndivyo walivyo kama huna la kusema hata kutulia njia tosha

Mnakuwa wakaliiii!!!!! Mkiambiwa ukweli. Hata kama siyo wewe lakini kuna wakaka wachafu sana yaani kuoga kwao ni nadra sana. Lenu hilo tena mshukuru aliyeleta hii mada huenda itasaidia kufikisha ujumbe japo kwa wachache wa humu JF.
 
Passion Lady!.... Yani nimekumiss mpaka naona kama vile bado hakujakucha!

Za siku myingi mpenz?
 
Last edited by a moderator:
wengine achene ukali bwana mkiambiwa ukweli...nyie akina nani hadi msiambiwe ukweli? hamuoni kuwa tunasaidiana kuwekana sawa?
 
Wanaume wamezidi uchafu!!! Jipendeni bwana mnakera hiyo midomo, kwapa, boxer na soksi utadhani panya kafia humo!
 
Hahahaaa.... Ukimwambia abadili boxer anasema "Mbona hii nimeivaa juzi tu hata week haijamaliza" Lol.....

Afu ikimaliza week badala ya kuifua anaianika yaaalah... Nisikilizie uvundo wake ye mwenyewe wala hana habari!!!

Mbadilike khaaaa!!!!!

pole sana,nakupongeza kwa uvumilivu.....how can u date and cope with such a guy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…