Wanamme wachache wanajali wanvyonukia, wengi akioga na kwanga tu kamaliza.
Baadhi hubadilika wanapopata 'house assistant', kuna baadhi wanafurahia vikwapa vyao na hawataki kufundishika.
Ila, inakera kwa kweli
habarini za leo ndg zangu...
jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?

kuna baadhi wanafurahia vikwapa vyao na hawataki kufundishika.
Duh! Kweli umevumilia umechoka
Usifikiri wote ndio wachafu huyo wa kwako ndio usifikiri wote ndivyo walivyo kama huna la kusema hata kutulia njia tosha
Message sent
Seriously?