wanaume wanaume wanaume...jiangalieni jamani

jamiif

JF-Expert Member
Apr 30, 2012
2,413
990
habarini za leo ndg zangu...

jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?
 
Wanamme wachache wanajali wanvyonukia, wengi akioga na kwanga tu kamaliza.
Baadhi hubadilika wanapopata 'house assistant', kuna baadhi wanafurahia vikwapa vyao na hawataki kufundishika.

Ila, inakera kwa kweli
 
umeona ee! sijui wakoje? mtu ananuka hadi aibu kuongozana naye kha! badilikeni jamani....
Wanamme wachache wanajali wanvyonukia, wengi akioga na kwanga tu kamaliza.
Baadhi hubadilika wanapopata 'house assistant', kuna baadhi wanafurahia vikwapa vyao na hawataki kufundishika.

Ila, inakera kwa kweli
 
habarini za leo ndg zangu...

jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?

Duh! Kweli umevumilia umechoka
 
kujipenda ni kujali unachokula na kunywa,usafi,watu au mambo unayojihusisha nayo, n.k

chips zege,ulevi na wanuka midomo&makwapa hawajipendi
 
Usifikiri wote ndio wachafu huyo wa kwako ndio usifikiri wote ndivyo walivyo kama huna la kusema hata kutulia njia tosha
habarini za leo ndg zangu...

jamani leo ninakuja na mada hii kwa wanaume mnaokuwa na harufu KALI, MBAYA za midomo na vikwapa. Mtapata shida sana kukubalika kwa wadada. Hata kwenye madaladala humu utakuta mtu akitoa pumzi tu ni harufu mbaya...sasa ombea uwe umesimama naye kaegesha kwapa lake, ni aibu!!jamani kaka zetu, JIPENDENI...tatizo ni nini?
 
Teh teh teh....kuna uzi uliletwa hapa unasema "mapinduzi makubwa jf" I think moja ya mapinduzi hayo ni hii maana ilikua tunawasema sana wanawake ila sasa zamu yetu....go ahead harufu mbaya na kingine nini?
 
inawezekana wewe ndio una shida hii...JIPENDE KAKA! KWA TAARIFA YAKO MUME WANGU HANA SHIDA KABISA NDIO MAANA NIKAMKUBALI TANGU MWANZO,,,,,,,,sasa we endelea na MAUBISHI YAKO uone utakavyohangaika.....pole sana!
Usifikiri wote ndio wachafu huyo wa kwako ndio usifikiri wote ndivyo walivyo kama huna la kusema hata kutulia njia tosha
 
inaowahusu utaona tu wanavyotoka MAPOVU....kubalini ushauri saa zingine jamani kha! mbona siye mnatusemaga hapa hadi thredi nyingine mtu unaishia kusoma na kupita tu....
 
Apa kwenye kwapa tena, kwapa la mwanaume lazma liteme kihewa kikikupiga puani unasikia masikio yanakusimama ka antena ya tecno lol, nb. Mfundishe bwanaako kuoga au mwogeshe mwenyewe
 
Similar Discussions

6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom