luckyline
JF-Expert Member
- Aug 29, 2014
- 15,153
- 21,798
Dia ulijuaje wewe ni mzuri au kuna mtu alikwambia?Kuna tofauti ya warembo na Wazuri.
Warembo wengi ni feki ndo maana, ila sisi wazuri wa asili wala hatukwami popote .
Dia ulijuaje wewe ni mzuri au kuna mtu alikwambia?Kuna tofauti ya warembo na Wazuri.
Warembo wengi ni feki ndo maana, ila sisi wazuri wa asili wala hatukwami popote .
Kujikubali tuu mpendwa.Dia ulijuaje wewe ni mzuri au kuna mtu alikwambia?
Nope jibu kwa fact, kujikubali na kuwa.mzuri ni vitu viwili tofauti.Kujikubali tuu mpendwa.
una akili sana dada....Yasemwayo yapo... ila..
Kila binadamu amaeumbwa tofauti, haijalishi ni mrembo au sii mrembo, ni mzuri au sii mzuri... ni mnene au mwembamba... ni mweusi au mweupe...
Huyu damu imelala, huyu damu imechangamka... mwisho wa siku utamu wa penzi ni hisia zako mwenyewe...
Cc: mahondaw
wanawake wote ni wazuri na ni warembo......na ndio maana kila mwanaume ana chaguo lake.....Kujikubali tuu mpendwa.
Factwanawake wote ni wazuri na ni warembo......na ndio maana kila mwanaume ana chaguo lake.....
Unataka fact ya picha? Mimi ni mzuri tena haswa. Yaani ni mzuri bila hata poda.Nope jibu kwa fact, kujikubali na kuwa.mzuri ni vitu viwili tofauti.
Anyway. Ucjali.
Wapo wengi wasiofurahia mapenzi kutokana na kukosa ushirikiano kwa mmojawapo.
Sawa dia sijakataa kwamba wewe sio mzuri ila dia ukiwa mzuri kuwa makini na kuweka Jf Uzi wa kutafuta wachumba (Uzi uko love connect) mababazi wa humu wanaharibu wasichana sio watu wazuri. Kuna mmoja yalimkuta alikuja kulia humu Jf.Unataka fact ya picha? Mimi ni mzuri tena haswa. Yaani ni mzuri bila hata poda.
Nimejuaje? Kwasababu kioo hakinidanganyi.
Unadhani nawe umo..?Warembo wakokeje?
Uzuri wa mkakasi kwa nje, ndani kipande cha mti...Ni mjadala ambao nimewakuta wanaume wanabishana sana
Walikuwa wanaume kama 6 hivi wakiwa kwenye kijiwe cha kucheza draft
Wanasema na nanukuu"Tunapenda wanawake hawa warembo lakini hawana lolote kunako sita kwa sita,unakutana na binti au mwanamke mrembo haswa,ila ukienda naye hana kitu ni urembo wa bure tu
Mwingine anasema,"Wanawake weusi halafu sio wazuri sana ndio wanaoweza mchezo,anakupa ushirikiano mwanzo mwisho mpaka unanyosha mikono mwenyewe,lakini warembo hawa ukishakojoa au ukamkojolesha,mchezo unaofuata ni kama unambaka,wengne hukataa
Mwingine akasema,hasa wanawake super stars na wanaojiita wasomi,ukiwa naye sita kwa sita,unaweza ukajilaumu mwenyewe,au ukiwa naye kwenye mahusiano,kukupa penzi labda yeye ajisikie kukupa sio wewe utake
Mwingine akadai,yeye alikuwa na mwanamke ila hakuwa mrembo sana,urembo wake ulikuwa wa kutafuta kwa manati,akaja akadate na mwanamke mrembo balaa,moja kwa moja akakataka mawasiliano na yule wa mwanzo ili asimuharibie na mke wake mpya,siku amepewa penzi alijutia kukata mawasiliano na baby wake wa mwanzo,walivyoendelea ikabidi amuombe msamaha mke wa mwanzo waendelee
Wanawake warembo jamani tunakwama wapi?