Wanaume wanaovaa cheni na hereni wanataka nini?

Huna hoja mkuu unafikiri kuwa mwanaume ni kuvaa suruali na kuchomekea shati! It's all about responsibilies and treat everybody with respect.

Basi kavae sidiria, bangili, sketi na gauni ili uwe mwanaume vizuri--utakuwa na rsponsibility na respect kubwa tu!!!
 
Kuna watu wana akili ndogo sana mkuu..nmegundua ni kama tunapoteza muda tu... mimi kwenye hii issue nliwauliza hawa vijana wanamuziki na wa bongo movie wanavaa kuwaiga wamasai au wana waiga wakina pdidy na lili wayne..?! Lakini sioni mtuakitoa jibu linaloeleweka au la moja kwa moja...

Akili ndogo hulalamika bila vielelezo wala base!!!!!!!
Say wewe una akili kubwa ume acquire wapi knowledge?????!!!!
Weka basi vitabu na websites wenye akili ndogo wakasome mkuu!!!!!!

Ethnocentric wanna be!!!
 
Utofauti upo kwenye maumbile tayari. Hata chupi zipo za wanawake na wanaume lakini zote ni chupi.

Na hata skirt zipo za wanaume lakini zote ni skirt. Ila za kiume zinatakiwa ziwe fupi kama hizi hapa chini. Kesho nenda kwa fundi umwambie akushonee sketi za kiume uanze kuvaa.

skirt.jpg


skirt1.jpg
 
Akili ndogo hulalamika bila vielelezo wala base!!!!!!!
Say wewe una akili kubwa ume acquire wapi knowledge?????!!!!
Weka basi vitabu na websites wenye akili ndogo wakasome mkuu!!!!!!

Ethnocentric wanna be!!!
Vielelezo vipi tena unataka wakati tumetoa mifano zaidi ya kumi..si kila kitu kiko kwenye kitabu..!? vitu vingine unatumia reasoning ya kawaida tu..
 
I told you I'm out and done! Which part you don't understand I.d.iot, live your life and let me live mine.

Hiyo ni dalili ya kuishiwa hoja--bila kuchanganya matusi huwezi kujisikia vema. Matusi ni jadi yako, hakuna anayekushangaa.
 
Kuvaa cheni hakuna tija yeyote kwa wanaume. Nawaasa wanaume muache kuvaa mavazi haya ya kike bila kisingizio chochote.
 
Cheni ni kitu kizuri sana ilmradi zisiwe zile za kuudhi
Amelaniwa mwanamme mwenye kuvaaa kipambo cha kike na vilevile amelaaniwa mwanamke anaevaa kipambo cha kiume kazi kwenu kupanga ni kuchagua
 
Amelaniwa mwanamme mwenye kuvaaa kipambo cha kike na vilevile amelaaniwa mwanamke anaevaa kipambo cha kiume kazi kwenu kupanga ni kuchagua
Nani kakuambia cheni na heren ni kipambio cha wanawake
 
wanaume wa dar muwaache aseee waacheni wavae mpaka bikini c kila mtu na maisha yake bna.sisi wa mikoani hatujui hizo mambo
 
UNAJUA DALILI ZA USHOGA HAZIJI KAMA CHAFYA!
KIDOGO KIDOGO:

ANAFUGA KUCHA MOJA NDEFU
ANACHONGA NYUSI,
ANAWEKA RANGI MWENYELE,
ANAONGEA KAMA DADAKE,
ANAANZA KUVAA MAVAZI NA MAPAMBO YA KIKE
ANABADIRISHA KUTEMBEA,
ANABADIRISHA MATUMIZI YA SEHEMU YA KUNYEA!, INAKUWA KUNYEA NA KUKOJOLEWA
 
Tunapoongelea swala la kuwa nadhifu ni both wanawake na wanaume na hata kwenye kitabu imeandikwa mwanamke anaweza vaa cheni ya dhahabu na bangili na hata vikuku, Isaya 3:19.

Ivyo kwa upande wa mwanaume ni muhimu pia kuwa nadhifu kuvaa saa ya dhahabu au almasi sio dhambi kwa kuwa viliumbwa kwa ajili yetu ila sio hereni.
 
UNAJUA DALILI ZA USHOGA HAZIJI KAMA CHAFYA!
KIDOGO KIDOGO:

ANAFUGA KUCHA MOJA NDEFU
ANACHONGA NYUSI,
ANAWEKA RANGI MWENYELE,
ANAONGEA KAMA DADAKE,
ANAANZA KUVAA MAVAZI NA MAPAMBO YA KIKE
ANABADIRISHA KUTEMBEA,
ANABADIRISHA MATUMIZI YA SEHEMU YA KUNYEA!
😅😅😅😅😅😅
 
UNAJUA DALILI ZA USHOGA HAZIJI KAMA CHAFYA!
KIDOGO KIDOGO:

ANAFUGA KUCHA MOJA NDEFU
ANACHONGA NYUSI,
ANAWEKA RANGI MWENYELE,
ANAONGEA KAMA DADAKE,
ANAANZA KUVAA MAVAZI NA MAPAMBO YA KIKE
ANABADIRISHA KUTEMBEA,
ANABADIRISHA MATUMIZI YA SEHEMU YA KUNYEA!, INAKUWA KUNYEA NA KUKOJOLEWA
 
Back
Top Bottom