nyie si ndo mnakuwaga mainitiator japo wanawake nao siku hizi wamehamia digitali..ila nyie ni nomaa sketi ikipita tu tena awe ameumbika flani vijicho vinawatokaaaaa!Mbona lawama zote wazielekeza kwa wanaume utadhani huwa wanajifanya wenyewe.
Jambo la muhimu ni kwa wanawake kuacha pia kugawa mbunye hovyo hovyo, kwani si lazima mkitongozwa mkubali.
Kumbuka kujaamiana hakukamiliki pasipo jinsia mbili.
Men enjoy the nature of the world. The population increases geometrically (according to Malthus) More than 60% are women, the ratio in play is then 1:5, man to women, tukienda kinyume ni kosa, kila mwanamke apate haki ya unyumba, dont be selfish!Najua, nitarushiwa kijembe kuwa nawapendelea wananwake! Any way, na mimi pia ni mwanamke! Nafikiri katika mambo yanamuuma mke, ni mume kutoka nje ya ndoa! Hata hawa watu wafanyweje jamani! Kama hawajaridhika si waache wasioe kwanza?Pamoja na hayo, nifikishe hongera zangu kwa good and committed husbands, ambao ni waaminifu kwa wake zao, keep it up!
nyie si ndo mnakuwaga mainitiator japo wanawake nao siku hizi wamehamia digitali..ila nyie ni nomaa sketi ikipita tu tena awe ameumbika flani vijicho vinawatokaaaaa!
Katika saikolojia ya mapenzi na utongozaji, mwanamke ndiye huwa wa kwanza kuonesha welcoming signs(tht's a fact)...
Ni kama harufu na pua, huwezi kuilaumu pua kwa nini imenusa harufu mbaya au nzuri...
Hao waaminifu wako wapi?????? NEGRO PALEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
There are 2 kind of Hero!!!!!!!!
1. True heros genuinely!!!!!!!!!! Ila kuna tetesi hili kundi ni EXTINCT kwa karne hii ya digitali!!!!!!!!!
2. Who enjoy themselves and never get caught!!!!!!!!!!!!!! They get away with it!
SO DONT BE SO SURE INCASE YOU HAVENT CAUGHT HIM YET!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Men enjoy the nature of the world. The population increases geometrically (according to Malthus) More than 60% are women, the ratio in play is then 1:5, man to women, tukienda kinyume ni kosa, kila mwanamke apate haki ya unyumba, dont be selfish!
wanawake wanaogawa tigo nje ya ndoa je?
Saa ingine tuwapumzishe hao waume za watu.
Nowdays mambo yamechange sana
Men enjoy the nature of the world. The population increases geometrically (according to Malthus) More than 60% are women, the ratio in play is then 1:5, man to women, tukienda kinyume ni kosa, kila mwanamke apate haki ya unyumba, dont be selfish!
kweli kuna mume ambaye hajawahi kutoka nje ya ndoa kabisa?!!! hata wa hum ndani watakaa ila moyoni nwao nafsi zina wasunta.
Acha ubinafsi wewe wanaume wenyewe wachache, wacha tugawane burudani afteral ni wetu sote
gud morn best,hilo unalosema kweli kabisa
Hao waaminifu wako wapi?????? NEGRO PALEASEEEEEEEEEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
There are 2 kind of Hero!!!!!!!!
1. True heros genuinely!!!!!!!!!! Ila kuna tetesi hili kundi ni EXTINCT kwa karne hii ya digitali!!!!!!!!!
2. Who enjoy themselves and never get caught!!!!!!!!!!!!!! They get away with it!
SO DONT BE SO SURE INCASE YOU HAVENT CAUGHT HIM YET!!!!!!!!!!!!!!!!!!
nyie si ndo mnakuwaga mainitiator japo wanawake nao siku hizi wamehamia digitali..ila nyie ni nomaa sketi ikipita tu tena awe ameumbika flani vijicho vinawatokaaaaa!
Men are poligamists
Na UKIMWI mtagawana wote, afterall UKIMWI ni wenu wote
hubby nimekumiss sana! hebu nipe ruhusajapo kiduchu nikajitafutie mume wa mtu!Khaaaaaaaaaaaaaaaaa!!