Wanaume wanaongoza kwa michepuko

Wanaume wanaongoza kwa michepuko

Ni kweli lakini sasa wanaume ndo nature yao huwa sijui nakosea lakini huwa nawafananisha na beberu Mungu anisamehe...
 
MEN should chop chop around in order to appreciate home cooking
 
hivi majina ya form v hayajatoka tu? maana hawa wanafunzi wamezidi humu ndani

Mbona yeshatoka ntemaholo na jina lako nimeliona una divishen five umepangiwa kwenda chuo cha magereza
 
Mimi ninamsapoti mtoa mada ila inaelekea watu hawajamuelewa yeye anazungumzia wanaume ambao WAMEOA ambao wanaacha ndoa zao na kuchepukia kwa wengine ambao either wanandoa au hawajaolewa

Dogo uko makini sana..umedadavua haswaa
 
Kwa nini kama kanogewa na wewe asikuchukue jumla anasubiri mwingine abebe halafu awe anaiba! Mwangalie sana huyo mchafuzi
haswaaaa huu ni uchafuzi aisee nshachukua tahadhari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom