Napenda kila msichana anapenda na hapo ndo mnatumia kutapeli na kutengeneza michepuko.....Ww hupendi kubembelezwa?...hujawahi kuwa mchepuko?
Napenda kila msichana anapenda na hapo ndo mnatumia kutapeli na kutengeneza michepuko.....
Niliwahi bila kujua thanx God sikwenda mbali nikajua nikachapa lapa
hivi majina ya form v hayajatoka tu? maana hawa wanafunzi wamezidi humu ndani
Hiyo ndio habari mwanaume aliokamilika hawezi kuwa na mwanamke mmoja,mwanamke mmoja anakuwa mama mzazi peke yake,ukiona mwanaume ana mke mmoja ujue huyo ameshindwKataa au bisha ila ukweli ndo huo. Wanaume asilimia mia tisa tisini na tisa point tisa wanachepuka. Ni ngumu kwa wadada walio olewa au kuwa na wachumba/boyfrends kutoka nje ya mahuaiano ila wa kaka nawapa salute kwa ilo.
Na ata akikutana na ex wake na tayari keshaoa bado atataka kugonga.
Badilikeni jamani ukimwi
salute kwao kuna mmoja kanambia hata nikiolewa lazima anitafute ati awe anapiga mechi ahahahahaaaa nilicheka hadi kupaliwa nikasema siwezi akajibu kumbe elimu yako haijakusaidia bado? asa nashangaaa kwani lazima
hahahaha sijui.......Sasa hivi upo njia kuu?
mbona unatutisha???Hiyo ndio habari mwanaume aliokamilika hawezi kuwa na mwanamke mmoja,mwanamke mmoja anakuwa mama mzazi peke yake,ukiona mwanaume ana mke mmoja ujue huyo ameshindw
Mke
hahahaha sijui.......
salute kwao kuna mmoja kanambia hata nikiolewa lazima anitafute ati awe anapiga mechi ahahahahaaaa nilicheka hadi kupaliwa nikasema siwezi akajibu kumbe elimu yako haijakusaidia bado? asa nashangaaa kwani lazima
aaah nyie noma sometimes mtu haachi tracesKwann hujui sasa?ww si umesema unafanya uchunguzi kwnz kabla hujamkubalia