Wanaume wanaongoza kwa michepuko

Wanaume wanaongoza kwa michepuko

queenlishas

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2014
Posts
288
Reaction score
76
Kataa au bisha ila ukweli ndo huo. Wanaume asilimia mia tisa tisini na tisa point tisa wanachepuka. Ni ngumu kwa wadada walio olewa au kuwa na wachumba/boyfrends kutoka nje ya mahuaiano ila wa kaka nawapa salute kwa ilo.

Na ata akikutana na ex wake na tayari keshaoa bado atataka kugonga.

Badilikeni jamani ukimwi
 
Ahh acha yani na wanavojua kuekti sasaa unajiskia we ndo weweee kumbeee...nyie wanaume nyie vibayaa hivooo
 
Kataa au bisha ila ukweli ndo huo. Wanaume asilimia mia tisa tisin na tisa point tisa wanachepuka. Ni ngumu kwa wadada walio olewa au kuwa na wachumba/boyfrends kutoka nje ya mahuaiano ila wa kaka nawapa salute kwa ilo. Na ata akikutana na ex wake na tayari keshaoa bado atataka kugonga.BADILIKENI JAMAN UKIMWIIII
Eti Dar es Salaam ndio ipo nchi ya Bongo au Bongo ipo katika nchi ya Dar es Salaam?
 
Eti Dar es Salaam ndio ipo nchi ya Bongo au Bongo ipo katika nchi ya Dar es Salaam?

Embu we ni jibu "CCM IKO NDANI YA BUNGE AU BUNGE LIKO NDANI YA CCM?" Ukijibu ilo basi utapata na jibu la swali lako
 
Hiyo michepuko tunafanya na nyie wanawake lkn
 
Haswaaa ujakosea.au umefanya UTAFITI wataka ongeza

Sasa asilimia zote hizo zikitoka michepuko zinaenda kufanyana wenyewe au wanachukua wanyama? Maana wanawake wote watakua wametulia ndani wao hawatoki michepuko
 
Uoga hakuna mandy.wanaogopa mimba tu..wako makini haooo wanajua ukipata msala

ukipata ngoma ni sawa tuu...sii ujinga wako ndio umekufanya uupate lakini mimba ni mbaya maana unaleta mtoto atesekee tuu hapa duniani kwanza hukupanga kuwa mdingi.
so bora utesrke wewe mwenyewe kuliko kiumbe asiekuwa na hatia
 
Kama ni asilimia hizo jiulize wanachepuka na nani?so na wanawake the same asilimia.
 
tehe tehe tehe nakuunga mkono na mguu pia.....mnachepuka na wanawake walio single,mwanamke anajua yuko na wewe tu,kumbe wewe unao kama watatu hivi kwa makadirio ya chini lakini...uuwi twawapandisha watu hasira
 
Tatizi wanawake nao mmekua wengi halafu siku hizi hata ukitongoza mwanamke ukwamwambia kuna wenzio kumi wala hakatai,kwahiyo ninyi pia ni chanzo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom