Wanaume wanaoitwa shem wana tabia mbaya

Mwambie una ngoma ...unabugia ARV, siku ile umemnyima kunusuru maisha yake
Ukiona king'ang'anizi ujue ye ndo kaungua...utachagua unyoe au usuke......
 
Mpe bhana si umeshakubali.😂😂😂
 
Aaah! Ushaliwa weye
 
Hamia kwangu ili umkwepe vizuri
 
Si umpe tuu, maisha yenyewe mafupi
 
Pole sana...

Duu! kumbe hadi nguo alishavua...

Mpaka hapo ushalainika tayari... hilo kumbatio na kiss na maneno laini ina maanisha tayari huruma ishakuingia...



Cc: mahondaw
 
Kuwa serious na maamuzi yako. Hapo naona wewe huna msimamo. Cha kwanza inaonekana kuna hali ya mazungumzo yenu ya mazoea mpka kakushushia heshima na kuona anaweza kuweka dudu la yuyuu kwa bibi huko. So kama kweli humtaki onyesha msimamo na U-serious na mazoea yataisha kabisa.
 
Ukimpa signal lazima akutake .

Kuna hizi lugha:

Shemeji langu la nguvu.
Shemeji lake hilo.
Shem wangu wa ukweli.

Hizo zote ni kujitongozesha. Asipofanya hivyo atakuwa zoba.
 
Wanawake ni viumbe dhaifu sana. Yaani umetaka kubakwa na bado unaendelea ku-entertain hayo mambo? Huyo jamaa ni mbakaji kama wabakaji wengine walioko gerezani na ulipaswa mpka sasa hivi uwe na RB mkononi. Naona unampenda halafu unataka kutuchosha
 
Ungeitia mwizi, hapo kumaliza hayo mazoea si kirahs kama unavyodhani maana anaonekana jamaa siyo civilized huyo.
Duuh mwizi Tena unataka awe na dhima ya kuua kiumbe kisicho na hatia, afadhali tu amtolee maneno machafu tu ,ili ijulikane kua hamtaki kuliko kumwitia mwizi
 
sasa kama umekaa kikahabakahaba kwanini mtu asitake kukubandua
 
Pole sweet heart...
Fanya hivi, bora ubaya wa siku moja lakini uishi kwa amani muda mrefu...hiyo siku uliyomuahidi aje, weka kifuli kubwa ondoka zako kajipumzishe mahali...then mwambie asije coz haupo...akilazimisha mchane live kuwa humtaki...
Mapenzi hayalazimishwi..

Akija ukamruhu kuingia tu ndani, tayari kashakula mzigo..

Poor Sweet heart..[emoji26][emoji26][emoji26]
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…