Wanaume wanaohonga hawana uwezo wa kushawishi mwanamke

Wanaume wanaohonga hawana uwezo wa kushawishi mwanamke

Acha Ushamba

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
202
Reaction score
78
Ndio hili halina ubishi, kama wewe unahonga ujue nguvu yako ya ushawishi kwa mwanamke ni ndogo au hauna kabisa. Halafu wewe mhongaji lazima utakuwa ni mjinga tu.

Kwani mwanamke asipopigwa paipu unadhani atajipiga mwenyewe? Sasa unahonga nini sasa, wakati inaeleweka wazi kuwa hio chiu sharti ipigwe na kidume maana kamwe hawezi kujipiga mwenyewe.

Na raha yake ni kupigwa paipu, thus why ukipiga bomba chini ya kiwango wanalalamika na hata kukimbilia huku mitandaoni ooohhhh mara kibamia, na blah blah kibao.

Wanawake kwa mfano wale wanaosoma sekondari huwa wanapata vichaa ama uendawazimu au uchizi wakikaa muda mrefu bila kuwaona wanaume ama kupigwa bomba.

Hili linadhihirisha wazi kuwa wanawake hawawezi kukaa bila kupigwa mashine hivyo kumhonga mwanamke ni ujinga ni kutojitambua kama kidume.

Likewise mwanamke unaekubali kuhongwa ili upigwe mashine ujue unauza mbunye yako sawasawa na wale wa Kimboka by night, Corner bar na wengineo.

Tofauti ni mode of business but the business return is exactly the same! Hata hivyo nawapa big up sana wale wanawake wanaotumia hizi fursa za kuhongwa na wanaume wasiokuwa na ushawishi kwa wanawake.

Big up sana wanawake endeleeni kuwakamua hao hadi watie akili.

 
mods buana.......uzito wa neno ujinga na uboya ni tofauti. Tunatumia neno uboya kusherehesha zaidi, lkn ujinga ni neno kali zaidi. Plz naomba mrudishe neno boya ondoeni neno ujinga!

Neno boya ni kama cartoon hv. Kwa mfano nikisema huyu mwanaume ni boya ni kama vile nimesema huyu mwanaume ni mwanaume cartoon hv......lkn nikisema huyu mwanaume ni mjinga hata ngumi zitawaka hapo!

So pls, rudisheni neno boya kama lilivyokuwa hapo mwanzo!

Natanguliza shukrani zangu!
 
Acha Ushamba wanawake wanapaswa kugewa zawadi....

hahah zawadi sawa, ila sio kuhonga! kuhonga ni uboya! wanaume maboya ndio wanaohonga..wanaume wa kweli hawahongi, wanashawishi tu! kama ushawishi wako ni timamu mwanamke hana pa kutokea lazima sound imuingie na mwishowe kuchojoa kwa furaha!
 
Wimbo wa mwanamke ni kupokea.. Kusikiliza ni kiitikio.
^^
 
kama wataka heshima ya kiumeni mwanamke mpe
1..pesa kwa njia yoyoyte mhonge zawadi direct and indirect way nasema mpe PESA.
2..Mpe care mjali kiunafiki na kiukweli wewe jitahid kumpa CARE
3..gegedo hakikisha unampa vitu adimu kunako 6*6 heshima ipande chati kama huwezi kumfikisha utasaidiwa na wengine
huo ushawishi wa mkono tupu haulambwi peleka bungeni
 
Mwanaume kuhonga bana...ushawishi peleka siasani....

Habari yako lakini
Ni kama kuna ukweli flani hivi kwenye hili jambo, kuonga kwangu mimi labda huyo mwanamke niwe na haraka naye sana ila nina ushawishi mkubwa sana mpka wanawake wengine niliwahi kuwagegeda hajui ilikuaje wameingia kwenye mahusiano na mimi wakati sijawahi kuwapa hata sh.10 na wanachizika na penzi langu
 
Acha Ushamba, jina hilo linaendana na jinsi ulivyo. Okay...hii game kaka kama huiwezi waachie wenyewe. Hata upige pipe kiaina...kuhonga it has some magical feelings, unaonyesha kuwa hujui mambo ya kumspoil mwanamke.

Kwahiyo kama huyawezi kaa kando so that we can spot the guy behind you...lol
 
Last edited by a moderator:
Ni kama kuna ukweli flani hivi kwenye hili jambo, kuonga kwangu mimi labda huyo mwanamke niwe na haraka naye sana ila nina ushawishi mkubwa sana mpka wanawake wengine niliwahi kuwagegeda hajui ilikuaje wameingia kwenye mahusiano na mimi wakati sijawahi kuwapa hata sh.10 na wanachizika na penzi langu


Uncle achana na hizo one night stand au ile migegedo ya bar, huku nyote mmelewa. Kama unazungumzia mahusiano ya kueleweka kama huhongi....mmmh una dalili ya kumkoka huyo kipenzi muda si mrefu, maana mnakuwa wafujaji.
 
Uncle achana na hizo one night stand au ile migegedo ya bar, huku nyote mmelewa. Kama unazungumzia mahusiano ya kueleweka kama huhongi....mmmh una dalili ya kumkoka huyo kipenzi muda si mrefu, maana mnakuwa wafujaji.
Mie sikutanii hata kwako naweza pia kuwa na mahusiano na wewe bila kukuhonga kitu na utanipenda sana pia utakuwa na wivu sana, nina ushawishi na maneno matamu sana ambayo ni mara chache sana umewahi kuskia toka kwa mtu mwingine. Kifupi huwa napenda sana kusoma vitabu vya saikolojia ya wanawake pamoja na nakala toka kwenye mitandao mbalimbali
 
Back
Top Bottom