Wanaume wananichukulia tofauti na nilivyo

kila mwanamke anafaa kuwa mke ila sio kila mwanamke anataka kuwa mke!!!!

Khaaaa.. enhance mfano hai ni huyu hapa..anatamani ila ndo ivo atasubiri sana kama asipobadilika....kutaka apo ni baadhi tu....wengi wanataka ila ndo ivo sio wife material
 
Last edited by a moderator:

Well said😛:sly:
 
Kama ndiyo wewe ninayekufahamu haaa ubabe umezidi, punguza ubabe utampata wa kwako aliye single.
 

Hehheh naomba nikuulize
Kwann unaigiza maisha kwann usiwaoneshe hao so called wanaume the real u?
 
nani anapenda kuoa ashangedele?
Tangu lini demu akawa msela?
Na usipojilekebisha utaishia kutafuta mashine ili ukasage.
 
Ongea kwa upole na taratibu.jifunze kusema samahani...please..Naomba...so often

The Boss tone ina mata sana ktk maongezi. Pia hayo maneno kwa wenzetu kule walikotangulia wanayaita magic words. Yanaweza kubadilisha ambience yote. Sasa hawa dada zetu wanajisikia vibaya kuyatumia especially anapohisi anamzidi mwanaume intelligence au vinginevyo. (Samahani nimetumia cocktail language).
 

smtym sio kuogopa kuyatumia mkuu...we live in a world where if u turn too soft u may be taken advantage of au kushindwa kufikia malengo yako...ndo mana some girls tend to adapt masculinity,...
It's quite tricky being totally a feminine woman and fully professional esp kwenye mazingira ambayo ni male dominated
 
Mdada,wanaume wengu huwa hawapendi.mwanamke ambae yupo serious,confident, ila wakimwona mwanamke anajichekeshachekesha wanamponda eti yule dem cheap sana,sasa just be as you are,ukiwa mkarimu sana watakuita cheapukiwa serious watakuita kauzu,jikubali ulivyo,you will get your soulmate
 
Punguza ukauzu dada, utakosa mume. Ooho! Uwe unatabasamu mara kwa mara, tabasamu linawalainishaga wanaume. Lol.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…