Sister Abigail
JF-Expert Member
- Sep 2, 2020
- 3,357
- 10,379
Nauliza tu kujifunza.huwezi jua kesho naweza kuwa na familia mume anaehangaika mi sielewi kitu
Je wanaume nao wanakuwaga na siku zao za joto kupanda ama hot days ambapo hormone zao zinakuwa juu na hamu pia?
Ama wao ni regular tu?
Nimezoea Kwa wanawake katika ule mzunguko wao Kuna siku zinaitwa za hatari ndio naita hot days,hizi siku ni balaa na nusu yake🙆
Katika hizi siku ndio mwanamke anakuwa kwenye uwezekano wa kubeba mimba Kwa 100%
Joto la mwili hupanda
Hormone zinaachiliwa kama zote,mayai ndani yanakuwa ready kutungisha mimba na ukeni kunakuwa wet na utelezi mda mwingi.yai lile likikosa kirutubisho toka Kwa mwanaume ndo linatokea na kushuka nje ya uke kama waste.
Hata Kwa mnyama mbwa pia,ana siku zake hatari,na wanatoka harufu Fulani inayomvuta dume hata kama Yuko mtaa wa saba ataruka ukuta amfate jike alipo.jike huwa anahangaika anatoa milio fulani mda wote na huwa anatoka utelezi.
Nadhani hii ni mahsusi kwajili ya kurahisha uumbaji na kujaza Dunia.
But my question...wanaume binadamu na nyie mna siku zenu au mnavutwa tu na majike?