my name is my name
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 2,016
- 2,402
- Thread starter
-
- #61
Alini text nikataka kujibu nakuta haziendi nikajuwa tu ameni blockAhahhhahh nimejikuta nacheka tu!!!
Eeh embu tuambie ulijuaje kama kakubrok?!!!
Haki, utoto ni raha sana!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante binamu[emoji7][emoji7]ndio maana nakupendaga sana binamu[emoji8]
Umeona eeehhh!!!Acha kufuatilia maisha ya x wako! Utapata tabu saaaana
Etiiiii unasema?Hizi habari HAZINA hadhi ya kuwa humu ...., We mdada umekosea njia kwanza huyo mtu unayemzungumzia hakuna anayemfahamu humu...peleka huko fb na umtag
Sijui upande wa kiumeni labda ww umeongelea kwa upande wenu ila sisi ke tunataka kuthaminisha, kanizidi! hata ukusikia bwana wa rafiki wameachana ana demu mwingne maeneo ambayo ww upo lazima utataka kumjua ulinganisheMkuu.... kama tayari umesha achana na mtu, kwani unapata nini ama unamthaminisha ili iweje...!!?? Then baada ya hapo ili nini kiwe...!!??
Kimsingi ukimuona yeyote mwenye bado anamfuatilia ex wake, basi ujue huyo mtu bado anamaumivu
Haha umeona uliemchukulia mume?
Haahhahahahaah naona analialia hapa eti ye mzuri kuliko Mimi thubutu hivi mzuri anajijua mwenyewe???? Hiiiiii unaweza kuwa mzuri chini hakufit sasa weeeeeHaha umeona uliemchukulia mume?
Hahaha kwa hiyo unamaanisha, chini bwawa?Haahhahahahaah naona analialia hapa eti ye mzuri kuliko Mimi thubutu hivi mzuri anajijua mwenyewe???? Hiiiiii unaweza kuwa mzuri chini hakufit sasa weeeee
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan Hiyo nyapu yako Ina dhahabu kenge wwWanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu [emoji23][emoji23] halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona [emoji23][emoji23] kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii [emoji28] halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia [emoji6]
Sijasema hivyo usinilishe maneno tafadhali mbona unakua kama supika wa bunge letu lakini???Hahaha kwa hiyo unamaanisha, chini bwawa?
Eeeeh jamani sio vizuriKwan Hiyo nyapu yako Ina dhahabu kenge ww
Tena ilivo kama kokwa la embe lililokanyagwa na gari ina maji mengi Sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu mpe binadamu mwenzio heshima yake plz.Wanaume sijui wako vipi mtu umeachwa basi utafute girl mzuri kumshinda x wako hata akimuona aanze kukuonea wivu. Kama huyu kaka mpaka anatia huruma nimemuacha miezi mitatu bado amepata girlfriend mpya, kajitu chenyewe kabaya hata hakistui sijui ame muokotea wapi masikini ya Mungu [emoji23][emoji23] halafu kuna watu wengine sijui wakoje wanajua mmeachana bado anaku whatsapp umemuona x wako na girlfriend wake mpya? Eeeee sasa mimi nifanya je nikimuona [emoji23][emoji23] kajitu kenyewe hata robo hakini fikiii [emoji28] halafu nimemuacha mwenyewe angeniacha yeye kweli ningeumia [emoji6]
Aache dharau wa kuona wengine ni wabaya yy ni mzur
Ahahahah haya Dada, kila la kheri.Alini text nikataka kujibu nakuta haziendi nikajuwa tu ameni block