Wanaume wanahangaika sana

Si tuna like tu japo umetumia kidhungu sidhani mtoa uzi kama kakuelewa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Song by Nani vile?
 
watu wote tunajua Na Dunia inajua mtesekaji ni wewe.
 
Definitely......!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwa nini unateseka
 
Utaendelea kupata tabu sana kama VP muombe mrudiane, eti kademu kake kabaya unaumia kuona dushe ulilokuwa ukilitumia kutumiwa na mwingine kuwa mpole. Jiwe lililoachwa na waashi sasa limekuwa msingi.
 
wewe ndiyo kinyanamke kibayaaa
 
you sound so jealous,yani imekuuma huna ata wa kumueleza umebidi uje kutoa la moyoni huku...[emoji23]
 
Hivi ukiachana na mpenzi huo muda wakumfuatilia unautoa wapi? Labda kama bado unampenda

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu alizoea akitikisa kiberiti anabembelezwa yaishe akamuona mwenzie hana macho ya kuona pengine.

Sasa awamu hii atakuwa kapigwa chini mazima,,,ni matukio tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anajifariji na nyuzi za madongo ati
 

Bado unampenda sana jamaa ila yeye hana habari na wewe mkuu
 
Huyu alizoea akitikisa kiberiti anabembelezwa yaishe akamuona mwenzie hana macho ya kuona pengine.

Sasa awamu hii atakuwa kapigwa chini mazima,,,ni matukio tu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 anajifariji na nyuzi za madongo ati
Awamu hii demu akizingua unashukuru MTU upate sababu ya kumpiga chini
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…