Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,483
- 167,062
- Thread starter
-
- #41
Ukala huyo chura?Nilitegwa na mtego wa chura𓆏
hiyo story iko humu jf?nakumbuka kuna mdau alileta topic hapa jinsi walivyokuwa wanazamia kwenye nyumba za madem huko mashariki ya mbali...!
yaani ile unaingia unanyata kwenye geto ya beki3 huku umebana pumzi istoke hahahaha ngoja nicheke kwanza hii sio ishu ya kitoto kunyatia demu amelala!!ata ukiskia ushuzi unabana afu unakuwa unatembea km mwalimu ametoka kukuchapa.HEHEHE sasa iyo mbinu yako ya kunyata afu unafika unamtoa kidaka ye beki 3 katulia tuuu unazani ni ujanja wako au unategwa tuu
SureNabii Adam alitolewa peponi na mwanamke
A mission to let your vision down
uko sahihi kabisa wala hatubishi kwa kuwa watu km wewe ndiyo wenye asili ya Nephilim.Lakin Mimi ni mtu pekee ambaye mwanamke hawez ni control.......ata akikaa uchi nikiamua siwez dindisha
Halafu ukijifanya bwege hujui kitu. Iko siku Anakuchomolea mazimaaa km si yeye na hapa kumpata kazi sanaMitego tu, Kuna dada naona kabisa ananipa mitego na kunicall Kiana ili nimtongoze.
Sent using Jamii Forums mobile app
mbaya zaidi muuza duka ni dume.ajabu ya shetani ke wote huenda kwa muuza vyupi Dume kuliko ke mwenzao.Hahahaha..kweli ni mtu pekee huyu jamaa.
Mimi hata nikiona chupi zinauzwa dukani huwa napiga picha moja matata sana pale papuchi inapokaa.
Huwa najikuta kitu inasoma mlemle
Kwamba anafanana nao[emoji1]
Nadhani ni vigumu sana kuuelewa huu msemo. Lakini ukweli ndio huo, Wanawake kabla hawajaingia mapenzini, hupiga Hesabu kali huku wakijifanya malonya kumbe wewe mwanaume ndio boya.
Hebu jiulize huyo mwanamke uliyekuwa naye, ulimpata kwa ujuzi na mbinu zako au alikuonea huruma? Unajuaje kama hujajiingiza mtegoni mwenyewe? Muulize ni mstari gani Kati ya ile mingi niliyokupigisha saundi mvua ndio ulikuingia zaidi hadi ukanikubali?
Mwanamke ana jicho kali sana, anaweza kuku zooom kisha akayaona maisha yako ya miaka miwili ijayo. Hapa ndio unakuta demu mkali kuliko Pisi kali amemzimia MSELA WA MANZESE, halafu anasema nakupenda jinsi ulivyo, kumbe anaipenda ile green pasture anayoiona siku za usoni.
Rest in Eternal Peace Pius Ng'wandu
[emoji16][emoji16][emoji16]Amini amini nakwambia, kale kadude kana ondoa kabisa akili za wanaume.
Kwahiyo wewe unaamini kabisa kuwa history ya maisha ya hao watu yote iliandikwa kwenye misahafu !?? Halafu history huandikwa na washindi so inaweza kuwa walijipigia pandeMbona kina Paul,Peter,Daniel n.k hawakuangushwa na wanawake.
Hakuna mtu anayeweza ku-control fikra zako bila wewe kumpa mamlaka hiyo.
Na hyo ktu ya katkat imenfanya nishndwe kusave pesa,ningekuwa natunza 100,000 kila mwezi,lakin nmeshndwaShida ni hiyo honey pot katikati ya miguu yao. Sijui Muumba Aliweka nini pale! Hata uwe mwamba namna gani, hitaji hilo likija aisee utasarenda tu na samahani utaomba hata kama wewe ndiye uliyekosewa. Tulishaonywa kuwa tuishi nao kwa akili!
🙊🙉[emoji16][emoji16][emoji16]