Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,435
- 166,884
Endeleeni kuwaita viumbe dhaifuMkuu unatukatisha tamaa ila ndio ukweli
Bjbj, wanaume kwa mwanamke ni kama mkate mbele ya chai.Endeleeni kuwaita viumbe dhaifu
Shida ni hiyo honey pot katikati ya miguu yao. Sijui Muumba Aliweka nini pale! Hata uwe mwamba namna gani, hitaji hilo likija aisee utasarenda tu na samahani utaomba hata kama wewe ndiye uliyekosewa. Tulishaonywa kuwa tuishi nao kwa akili!Bjbj, wanaume kwa mwanamke ni kama mkate mbele ya chai.
Samson mbabe wa dunia, aliangushwa na mwanamke.
Suleiman na hekima zake zote aliangushwa na WANAWAKE.
Bila akili mwanamke anakuangusha ndani ya sekunde sita na nusu
Amini amini nakwambia, kale kadude kana ondoa kabisa akili za wanaume.Shida ni hiyo kitu katikati ya miguu yao. Sijui Muumba Aliweka nini pale! Hata uwe mwamba namna gani, hitaji hilo likija aisee utasarenda tu na samahani utaomba hata kama wewe ndiye uliyekosewa. Tulishaonywa kuwa tuishi nao kwa akili!

(Mtume wa Kujipachika) Mohammad pia aliuliwa na mwanamke wa KiyahudiBjbj, wanaume kwa mwanamke ni kama mkate mbele ya chai.
Samson mbabe wa dunia, aliangushwa na mwanamke.
Suleiman na hekima zake zote aliangushwa na WANAWAKE.
Bila akili mwanamke anakuangusha ndani ya sekunde sita na nusu
Mbona kina Paul,Peter,Daniel n.k hawakuangushwa na wanawake.Bjbj, wanaume kwa mwanamke ni kama mkate mbele ya chai.
Samson mbabe wa dunia, aliangushwa na mwanamke.
Suleiman na hekima zake zote aliangushwa na WANAWAKE.
Bila akili mwanamke anakuangusha ndani ya sekunde sita na nusu
Eti kuna mila zingine hawataki kabisa kusikia habari ya kile kitu, wanakikata na kukitupa chooni.Amini amini nakwambia, kale kadude kana ondoa kabisa akili za wanaume.
Wale walikuwa wapuuzi tu na wapiga punyeto, usiaamini uwongo wa vitabu vya kale...tumia akili yako.Mbona kina Paul,Peter,Daniel n.k hawakuangushwa na wanawake.
Hakuna mtu anayeweza ku-control ubongo wako bila wewe kumpa mamlaka hiyo.
Ni kitu Kidogo lakini kina nguvu na mionzi ya Ajabu. Kwa kitu hichi cha ktk kina sababisha. Ufukara. Ujambazi. Ukichaa Uchizi. Balaa lote za dunia zinasababishwa na kitu hiki kidogo sanaShida ni hiyo honey pot katikati ya miguu yao. Sijui Muumba Aliweka nini pale! Hata uwe mwamba namna gani, hitaji hilo likija aisee utasarenda tu na samahani utaomba hata kama wewe ndiye uliyekosewa. Tulishaonywa kuwa tuishi nao kwa akili!