Wanaume walitokea sayari ya Mars na wanawake tulitoka Venus

Wanaume walitokea sayari ya Mars na wanawake tulitoka Venus

Uzuri wa Maendeleo ni kuwa kila mtu anayafurahia ila huwa hayana dalili unaweza kuyapata hata kwa Kuota.
 
apa kwa kiinglish navurugika wakati kicha cha habari kizuri kwa kiswahili
 
[emoji23] mr Zero sas mbona meme situmii Pombe Mbaya (pm)mkuu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Sasa kama wewe hautaki tutumie Pamoja Maisha(PM) unatuonea sana sisi wanaume.
 
Nilikisoma 1992
Yaani ni mengi sana ya kujifunza lakini yanachanganya sana kumuelewa mwanamke
Lakini tunaenda nao hivyo hivyo
Kumbuka mwanamke akikuambia vipi una njaa?
Yaani haraka kata kona kama kuna hotel karibu mpeleke
Kuwaelewa inataka akili ya ziada.
 
Back
Top Bottom