sio kwamba sipendi kuolewa jamani au sio kwamba sijawai kupata wa kunioa , ila yaani waoaji wangu sijui nisemeje .ngoja niseme kwa ufupi muamue wenyewe
muoaji namba moja
huyu jamaa kweli kabisa alitaka kuniweka ndani hata sasa hivi nikitaka ila story yake ipo hivi
huyu jamaa ni rafiki yake na boss wangu . wanafanya biashara zingine pamoja.wanajuana miaka na miaka .alinijulia ofsini pia boss wangu akawa anamwambia bwana miss yupo fresh muoe huyu .jamaa alishaoa sema mke akaondoka na alishaolewa na jamaa mwingine ana mtoto mmoja . na ni muhenga tu fresh ambazo ndo flavour zangu..jamaa akanitongoza kweli nikakubali .tukaanza mahusiano.kusema kweli sijawai kumpenda hata sema nikawa nalazimisha tu niolewe yaishe. maana ana nyumba ana gari yupo fresh .nilipanga nitampendea mbele ya safari
siku moja akanialika home kwake nikalale huko .sikuwai kufika kwake , usiku mmoja huo nikaenda kwake ilikuwa ijumaa nikashuka kituoni akaja na gari tukaingia mtaani hadi kwake ni jirani na huyo boss wangu japo yeye haishi hapo anakaa nje ya nchi anakujaga tu mara chache.ndo maana nilienda usiku.
nyumba ilikuwa nzuri saaana kwa nje nikasema mama mwenye nyumba mimi Mungu anipe nini tena jomonii?
haya nikashuka kwenye gari mlango ukafunguliwa nikaingia ndani .mama weeeeeeeeeeeee
Yaani palikuwa pachaaaafu pachafu .yaani jamani mimi sio msafi wala msidhanishie nina dharau ,am the coolest person ever! Yaani sofa ni chaafu zimechooka yaani hata panya haishi mle.nikatoa khanga yangu kwenye pochi nikatandika nikakaa huku full chafya *****.
Mdogo wake wa kiume alikuwa anaandaa msosi nikamwambia nikusaidie akasema poa yaani jikoni nilivofika na navopenda msosi apetite ilikata toka siku ile mpaka kesho jomoni . in short that house was hell men
Chumbani sasa.
Chumbani sasa. Yaani nguo zote zimetundikwa kwenye kitanda yaani masuruali mengine yamefuliwa mabichi ,maana kilikuwa kipindi cha mvua, yaani hakuna hewa kusema kweli. Nikamwambia bwana hee twende tukalale kwangu hapa mbu hivi pia nina pumu nitakufa humu . japo sina pumu nilidanganya.
Tukaondoka usiku huo hadi kwangu saa saba hiyo
Hapo nimeshikwashikwa hadi basi nimekereka wee
basi jomoni tulivofika kwangu nikamwambia bwana mimi siwezi kumlaza mwanaume nyumbani kwangu kwetu mila haziruhusu kabisa yaani tukabishana wee akakubali akasepa . nikamuahidi ningeenda kwake asubuhi pia muda huo mbu watakuwa hawapo akakubali so nikawa nimenusurika siku hyo kuliwa papuchi japo mdomo na mtindi uliipata fresh
basi tukaendelea hivo hivo na maisha akanialika tena kwake maana mimi huwa sikubali kugegedwa lodge .ilikuwa siku ya jpili so nikaplan kwenda asubuhi ili nikashinde huko nipike pike etc
nikaondoka home saa moja kamili na bajaji aisee elf 15 ilinitoka maana ni mbali .nyumba nikaikuta chafu vile vile kama nilivoiacha yaani acheni tu vile mnaandika hapa kwa vile hamjaona mnaniponda.ila nifupishe tu story kumbe yule bwana hatakiwi kufanya usafi home kwake .ni mshirikina nitakuja kufafanua baadae
naombeni muwe watulivu jamani acheni matusi kunihukumu ni mwishoni