Wanaume wakurya!

Wanaume wakurya!

Ni wataalamu wa mambo ya Chumbani kwa sababu wanapenda sana vyakula vya asili maana vinawapa ngufu nyingi sana za kumiliki stage-Kichuli, amaghe, inyama, amabhele (maziwa) n.k
 
Wakurya niii wakarii saana! Jamani ebhu achaeen!
 
Kama unalowe na Mkurya, ujue utakuwa unapigwa mara mbili au tatu kwa mwezi, maana kuchapwa vibao, fimbo, kukatwa sikio n.k ni suna na nisehemu ya kuonyesha upendo mke/wake zao!
 
Ahsante kwa kutaka kujua,
TABIA NZURI
1. Wajasiri sana
2. Wavumilivu
3. Hawatoi talaka ovyo ovyo
4. Ni watafutaji pesa wazuri-wauza mayai kwa Dar
5. Wanampenda Mungu
6. Wengi wao ni Wasabato
7. Wanajituma
8. Hawataki uonevu-wanapenda haki
9. Hawana kinyongo
10. Wana nguvu-giants

HASARA ZAO:
1. Ni WAKALI SANA wakichokozwa na hawataki mabo ya nenda rudi kesho.
Wao ni hapo hapo unachukua (kibano) chako faster.

Motachambe!!!!
umebuugi kijana wakurya wasabatho sio wengi wasabato wengi ni wajita, wakwaya na waluri
 
Ah wapi Binti.com hizi story za kijiwe cha umbea hakuna lolote, siku ukimpata mkurya akikuacha utamlilia machozi.
Mimi nilikuwa na bf wa kikurya tukashindana, amri hadi kwenye ma-love!! Akifika tu; Binti.com rare nikurare! Sikuwahi kubembelezwa hata siku moja.

Mkuu Mwita Maranya, umeisikia hiyo tuhuma kwa homeboy wako?

Mkuu Power G huyo bibie Binti.com amejaribu kuudanganya umma. Nadhani atakuwa alitoswa ama walishindwana kwa mambo mengine kwakuwa jambo moja tunalolijua wanaume wa kikurya ni kuwapa mapenzi wake zetu.

Ha haa haa,nilipenda sana kuolewa na hili kabila bt unfortinately ckupata mwanaume wa kabila hilo

Kama bado upo single niPM.....mimi ni pure kuryan!!

christine ibrahim naona Mungu amesikia dua yako na haraka amemteremsha kwako The Magnificient. Karibu sana kwetu shemeji!!!:yo::yo::yo:
 
Last edited by a moderator:
Pot umemariza kira kitu mura,hakuna nyongesa kabhisaaaa,rakini sasa muraaa! demu mwenyewe anajua kubhika kichuri kweri!!!

Hawana kinyongo hawa si ndo waliwauaga watu pamoja na mifugo yao mwaka 2009 as a form of kisasi
 
Ah wapi Binti.com hizi story za kijiwe cha umbea hakuna lolote, siku ukimpata mkurya akikuacha utamlilia machozi.

Mkuu Power G huyo bibie Binti.com amejaribu kuudanganya umma. Nadhani atakuwa alitoswa ama walishindwana kwa mambo mengine kwakuwa jambo moja tunalolijua wanaume wa kikurya ni kuwapa mapenzi wake zetu.

christine ibrahim naona Mungu amesikia dua yako na haraka amemteremsha kwako The Magnificient. Karibu sana kwetu shemeji!!!:yo::yo::yo:

Teh teh teh The Magnificient umemsikia Mwita Maranya
 
Last edited by a moderator:
Maneno ya kuambiwa siyo poa.. we muoe au olewa nae/ jenga mahusiano nae then uje utupe mrejesho hapa kama kakupiga, kaanza mchepuko au la!!
 
Back
Top Bottom