Wanaume wakurya!

Wanaume wakurya!

Ungetuelezea zaidi ni mkurya kwa baba pekee? Au ni original mkurya yani baba na mama. Na ni wa uzalio wa dot.com au miaka ya 70th,60th

Uzuri:
cha kuongeza si wote wanapiga au wakali..... ila Iko damuni usijaribu kuitibua...!:nono:
Wana umoja kwa kweli, yani as long ur mkurya wanakuchuKulia Kama ndugu.


Ubaya
Most of them wameoa wake wawili. Wale wa zamani. Wanasema ni culture!
Kama ni msabato jiandae kuwa msabato, haina kuuliza kabisa hii.

Yote ni kweli kabisa kwa Wakurya kasoro hiyo ya Wasabato,na mwisho wanajua kupenda sana,ila usije mzunguka kwa mwanaume mwingine hapo ndio utajua ile inayofahamika kuwa Wakurya ni wanyama,kwa hilo ni wanyama kweli
 
sis ban htna tatzo weny mtatzo ni wale wvta bang mfano mi elimu yangu ni degree holder ciwz mpiga mke wangu maake mechangamna na makabila meng inkwa nasom na kjfnz vtu ving xna
 
sis ban htna tatzo weny mtatzo ni wale wvta bang mfano mi elimu yangu ni degree holder ciwz mpiga mke wangu maake mechangamna na makabila meng inkwa nasom na kjfnz vtu ving xna

umesema na wewe ni msomi mwenye degree?
 
tabia zetu ni nzuru....tunapenda wanawake kwa upendo wa dhati na pia kama ww ni mweupe ndo kwanza usipime utapendwa mpaka basi
 
Lazima ujue kucheza Iritungu!

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Unategemea sisi ambao hatujawahi kumwona huyo mkurya wako ndio tutajua ku anticipate tabia zake kuliko wewe mwenyewe?

You must be crazy, na unaenda kuchezea kichapo.
 
wanamapenz ya kweri na wanajari sana wapenzi wao mfano mzuri nenda Liberty Mwanza aroo bhare wanawake walioolewa na wakuria wanakura bhata baraa poti
 
Mimi nilikuwa na bf wa kikurya tukashindana, amri hadi kwenye ma-love!! Akifika tu; Binti.com rare nikurare! Sikuwahi kubembelezwa hata siku moja.
Mkuu Mwita Maranya, umeisikia hiyo tuhuma kwa homeboy wako?
 
Back
Top Bottom