Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,499
- 145,878
Sometimes I wonder what would become of our families if we all had to have paternity tests done.
Which brings me to the Maury Povich show....it'll probably go something like this....'in the case of four year old Ngababy, Ngabu, you are not the father'.
It's devastating!
Kwa vile it is not easy to know who is the father, not even for the woman, I think it would be difficult to prove that there was that intention to make the father believe he is the father, knowing he is not. women will all say they did cheat, but they didn't know the kid was not their man's...But her body language did not seem to correspond with what she was saying. Probably, ndio maana Povich kept asking her the same question? Is paternity fraud a criminal offence? If not, should it be? As one suggested on YouTube, should we make paternity tests mandatory for newborn babies? The technology is here, so should we use it to stamp out paternity fraud?
But her body language did not seem to correspond with what she was saying. Probably, ndio maana Povich kept asking her the same question?
Is paternity fraud a criminal offence? If not, should it be?
As one suggested on YouTube, should we make paternity tests mandatory for newborn babies? The technology is here, so should we use it to stamp out paternity fraud?
Za kazi gani wakati hakuna mwanamume mgumba hata mmoja??
Babu DC!!!
Back to wifi; she use to have lots of abortions so huenda imeathiri? Sijui sana lkn ni sensitive topic kwao!
Hii nayo ni mbaya sana. Kuna mdada namjua alishusha si chini ya tano kwa hesabu za haraka haraka. Sasa hivi kaolewa na anatafuta mtoto lakini wapi.
Kila akipata ujauzito mimba inaharibika.
unajua niliwahi experience
mwanamke mmoja kunitokea kwa nguvu mno
huku ameolewa.....halafu kama hajali watu kujua..
nilimkwepa...later on nikagundua mumewe ana tatizo hilo
huyo dada kazaa na mwanaume mwingine but still yupo kwenye ndoa..
nilibaki puzzled nilipokuja gundua the truth mwishoni....
Hii nayo ni mbaya sana. Kuna mdada namjua alishusha si chini ya tano kwa hesabu za haraka haraka. Sasa hivi kaolewa na anatafuta mtoto lakini wapi.
Kila akipata ujauzito mimba inaharibika.
Ndugu yangu NN bongo kumekucha siku hizi, fertility clinics zip kibao siku hizi mpaka IVF inafanyika locally,mikocheni peke yake zipo mbili (baraka plaza NA nyingine kona ya cocacola).Duh! Hapo ni kheri kwenda kumuona urologist tu.
Kwa Marekani urology ni moja ya fani za udaktari zenye ushindani wa hali ya juu kabisa. Kwa Tanzania tukiwa na hata ma urologists 50 nitashangaa sana!!!!
Uliponea chupuchupu kubakwa mkuu!
Saa hizi mwanao angekuwa analelewa na baba wa kambo bila kujijua,lol
Niliwahi kumuuliza dada mmoja kuhusu hili alinijibu kimaandiko 'mwanamke mwenye hekima huijenga nyumba yake mwenyewe'. Mbaya zaidi mwanaume aliyebakwa kuwa donor hajui na hatokaa ajue khabari hii.
Ndugu yangu NN bongo kumekucha siku hizi, fertility clinics zip kibao siku hizi mpaka IVF inafanyika locally,mikocheni peke yake zipo mbili (baraka plaza NA nyingine kona ya cocacola).
Lakini tukiangalie upande mwingine wa shilingi kuliko familia iendelee kuteseka,na saa nyindine mpaka watu kufikia kuachana ni bora tu mwanamke akatafute mtoto nje but kikubwa cha kuchunga ni mume kutokujua ukweli then familia ibaki kuwa na amani!
Mume asijue ukweli? That to me spells disaster in every language.
Yes NN mume asijue ukweli,wanawake wameumbwa na vifua vya kuhimili mambo magumu ,but kwa wanaume ni ngumu mtu anaweza mpaka akanywa sumu,chukulia mfano mdogo tu mwanamke anaweza letewa mtoto wa nje na akatulia tu lakini mwanamme hawezi!
Katika miaka michache niliyoishi hapa duniani nimejifunza kuwa ukweli haufichiki kwahiyo huwezi kuwa na amani. Dhamira yako lazima ikusute tuu.kikubwa cha kuchunga ni mume kutokujua ukweli then familia ibaki kuwa na amani!
Kila mtu kivyake lakini mimi sioni busara wala hekima katika kumficha mume. Hapo utakuwa huwatendei haki watu wengi tu akiwamo mume, mtoto, baba mtoto wa ukweli, ndugu, pamoja na jamaa wengine.
Manake ndugu wa mume watakuwa wanaamini huyo ni mtoto wao kumbe wapi, umewadanganya. Kweli kabisa katika nafsi yako unaona kufanya hivyo ni sawa?