What if they decide together to do it? people can be desperate sometimes, they do unexpected things. Mbele yenu wanajifanya hawajui kua sio wao but if you could notice that, he could notice it too...
Male infertility treatments kwa Tanzania haziko advanced kihivyo. Sasa ukichanganya na male ego ndiyo inakuwa balaa kabisa.
Mwanaume gani wa Kiafrika atakubali kirahisi rahisi kwenda kupimwa rutuba yake?
The Boss,
Katika dunia ya Afrika, hakuna mwanamume mgumba...Ndiyo maana mke asipozaa ni tatizo lake na siyo la mwanamume!
Na kama ndo hivyo, ataenda hospitali kupima nini wakati haumwi?
Hata hvyo hayo matatizo mengine ya kuhanja hanja nje kutafuta ka-baby ni ya kujitakia. Mila zetu zina solution ya karibia kila kitu....!!!
Enzi zetu, mwanamume alifanyiwa test kwa kupewa mwanamke mwingine eg shemeji zake. Ikishindikana basi mke wake anaombwa apate huduma ya shemeji zake...Lengo ni kuficha aibu ya ukoo!!
Babu DC!!
Kama alifanya wazi kabisa bila kujali watu kumfikishia mumewe, maybe she had discussed (and agreed on) it with her husband.unajua niliwahi experience
mwanamke mmoja kunitokea kwa nguvu mno
huku ameolewa.....halafu kama hajali watu kujua..
nilimkwepa...later on nikagundua mumewe ana tatizo hilo
huyo dada kazaa na mwanaume mwingine but still yupo kwenye ndoa..
nilibaki puzzled nilipokuja gundua the truth mwishoni....
unajua niliwahi experience
mwanamke mmoja kunitokea kwa nguvu mno
huku ameolewa.....halafu kama hajali watu kujua..
nilimkwepa...later on nikagundua mumewe ana tatizo hilo
huyo dada kazaa na mwanaume mwingine but still yupo kwenye ndoa..
nilibaki puzzled nilipokuja gundua the truth mwishoni....
yaani kuna mambo yanashangaza mno kwa kweli
sasa kwa nini watu wasi adopt tu
kuliko kuona mwanamke yuko bize kutongoza vidume wengine?
Duuuuuuuuuuuuuuuuuu,
Kumbe ulishakaribia kufanywa dume la mbegu?
Do you look like one??? (sorry kama nimefanya uchokozi...ila mhhhh.....)
Babu DC!!
Kama alifanya wazi kabisa bila kujali watu kumfikishia mumewe, maybe she had discussed (and agreed on) it with her husband.
mimi sikuwahi kuhisi hiko kitu hadi baadae kabisa..
na mumewe alikuwa familly friend...
Kweli kaka,
Hivi kuna mtu anaweza kupata courage ya kumweleza mwanamume wa Kiafrika kupima afya yake ya uzazi?
Kama ni mie lazima nitasababisha deformity ya reception kwa gharama yoyote!
Babu DC!!
Naona unasisitiza sana kua you knew her husband. so what would have been the situation if you didn't know him?mimi sikuwahi kuhisi hiko kitu hadi baadae kabisa..
na mumewe alikuwa familly friend...
Nakubaliana na wewe kabisa,
Jamaa alishapitishwa kwenye vipimo na vikao vyote...I bet, even written minutes of such meets were available in the bedroom files!!