Dada umewasahau wanyakyusa,wachaga na wamasai.Yaani wanafikiria badala ya kuitafuta khaa kwani mtu akiwa mfupi mpaka akili inakuwa fupi?
Nakubali watu wa kanda ya ziwa,kigoma,na Arusha kuna wanaume warefu,
Dada omba sana, kuna mdada aliwakataa wachumba kwamba ni wafupi,akakaa weee,alipoona miaka imesonga ikabidi aolewe na mtu mfupi tena kutoka dini tofauti na yake.aah yule mrefu tena tupo size tunalingana kwa urefu
i was taken up by other things lolest
Those "other things" must be so special.(LOLEST...)
I thought you were driving in JF city in a tinted car windows!(Here I mean, of recently, some people have changed their IDs or opt for the alternative IDs--a.k.a multiple IDs!)LOL...
Kwenda chini hata akiwa mfupi sawa tu...heheheheh
hiloooo muone kwanza hahahaaaaaa staki
Urefu au ufupi is a very relative term ma dia
from 160 cm kushuka chini kwa mwanaume ni mfupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
i only own one vehicle which takes me to all destinations in jf city lol
Dada omba sana, kuna mdada aliwakataa wachumba kwamba ni wafupi,akakaa weee,alipoona miaka imesonga ikabidi aolewe na mtu mfupi tena kutoka dini tofauti na yake.
Mi nawapenda sana wana upendo wa dhati
ndiooooo kwan vip na wew ni mfupi
Mbona kama una uzoefu nao aliwahi kumdate mbilikimo au una ndugu mbilikimo?yaani mungu aniepushie jamani siwataki vimbilikimo hata kuwasikia harufu yao sitaki hata kuwaona wana tabu hao gubuu limewajaaa
wapi tena tukumbushaneMi hata thijui! ila nahisi sio mfupi/sio mrefu kimo tu.....maji ya kunde sura ya Kiafrica.....hahahaaha...umenikumbusha mbali ww