Jua kali na hawalali Kwa kufikiria pesa...lol.
mimi sitaoa kabisa mwanamke mfupi, maana sitaki kuzaa watoto wazebe.
wazebe?!
Hivi unajua ni kwa nini hawahitajiki jeshini? ni pm nikueleze
naomba kuuliza, hivi mrefu anaanzia na futi ngapi?! mimi mwenye futi 5 na inchi 9 ni mrefu au mfupi?! msaada jamani?!
Yaani wanafikiria badala ya kuitafuta khaa kwani mtu akiwa mfupi mpaka akili inakuwa fupi?
Nakubali watu wa kanda ya ziwa,kigoma,na Arusha kuna wanaume warefu,
i will be back...............................
naomba kuuliza, hivi mrefu anaanzia na futi ngapi?! mimi mwenye futi 5 na inchi 9 ni mrefu au mfupi?! msaada jamani?!
mimi sitaoa kabisa mwanamke mfupi, maana sitaki kuzaa watoto wazebe.
Kwani unataka kuoa wangapi?
Mkuu strong ruler kama huna cha kuchangia kaa kimya
We bwana mi siwezi kukudefine....kwa wafupi haupo kwa warefu haupo
Watu wafupi ni tatizo sababu wako very inferior kazi kubisha na kujaribu kujionesha wao ni bora kwa maneno kuficha ufup wao... ni kazi sana kudeal nao