Wanaume wafupi ni shida

Wanaume wafupi ni shida

teh teh!,sometimes nikiwa ktk maeneo yenye mjumuiko wa watu wengi,huwa napenda kuchunguza wanaume warefu tupo wangapi,huwezi amini,ratio haiendani,warefu tunakuwa wachache sana.

Asubuhi hii wakati navuka kwa pantoni nilifanya iyo tafiti ndogo, huwezi amini warefu tulikuwa watatu tu na patoni ilijaza sana
 
Ni kweli kabisa Tanzania, Zambia na nchi hizi za kusini mwa Afrika kuna wanaume wafupi sana. Na ndio maana hata kwenye mambo ya michezo hasa mpira inakuwa ni vigumu sana kupata timu huko ULAYA. Yaani inabidi ufanye kazi ya ziada sana.
 
Attachments

  • susu2014.jpg
    susu2014.jpg
    4.7 KB · Views: 296
Back
Top Bottom