Wanaume wafupi ni shida

Wanaume wafupi ni shida

twashambuliwa like it is a mistake for being that way.........
 
Wanaume wafupi wabishi, ving'ang'anizi balaa afu wana hasira kidogo tu huhisi kadharauriwa na wana misifa hatari.
 
Sidhani mwanzisha mada mko sahihi kama hivo wajapani wangekuwa maskin kwa mlicho kiita inferiority.actual mi ni mfupi wa sm 158 im proud how God creaded me,i never fail in my studies since i began learning and i was leading the clasd until august 2014 nlipo graduate shahada yangu ya kwanza,kwa mtizamo wangu hamko sahihi kwan inferior is for all living creatures,every one with its part of inferior
 
naomba nijue ufupi upi unaozungumziwa hapa..je mtu mfupi ni kuanzia ft ngapi...mana naona watu wanachanganya madesa kati ya mbilikimo na average height hapa...je ni ufupi kama wakina AKI na UKWA au ni upi huo?:llama::hail:
 
kuna siku nilikuwa nataniana na mke wangu tulipotoka hospitali,nikamwuliza, hivi kwanini madaktari wengi ukienda hospitali ni wafupi? asilimia kubwa ya madoctor ni wafupi. hivi mlishachunguza hiijambo.
 
naomba nijue ufupi upi unaozungumziwa hapa..je mtu mfupi ni kuanzia ft ngapi...mana naona watu wanachanganya madesa kati ya mbilikimo na average height hapa...je ni ufupi kama wakina AKI na UKWA au ni upi huo?:llama::hail:

from 160 cm kushuka chini kwa mwanaume ni mfupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
Back
Top Bottom