Wanaume wafupi ni shida

Wanaume wafupi ni shida

Tunajadili urefu kwa ujumla wake au ufupi kwa ujumla wake,lkn kuna mtu unakuta anajiita mrefu lakini ni miguu tu mirefu kifua kimeshikana na tumbo au miguu mifupi lkn kifua na tumbo ni mrefu hawa nao wapo kundi gani?
na wafupi nao unaweza kuta ni hivyo hivyo. me nadhani ni vema kila mtu ajiamini kwa maumbile aliyopewa na Mungu si lazima upendwe na kila mtu,anayechukia wafupi wapo wafupi wenzake watampenda and vice versa.
Kikubwa tafuta pesa hudumia wanaokuhusu hayo mengine achana nayo.
 
Yaani wanafikiria badala ya kuitafuta khaa kwani mtu akiwa mfupi mpaka akili inakuwa fupi?
Nakubali watu wa kanda ya ziwa,kigoma,na Arusha kuna wanaume warefu,
Dada umewasahau wanyakyusa,wachaga na wamasai.
 
aah yule mrefu tena tupo size tunalingana kwa urefu
Dada omba sana, kuna mdada aliwakataa wachumba kwamba ni wafupi,akakaa weee,alipoona miaka imesonga ikabidi aolewe na mtu mfupi tena kutoka dini tofauti na yake.
 
i was taken up by other things lolest

Those "other things" must be so special.(LOLEST...)

I thought you were driving in JF city in a tinted car windows!(Here I mean, of recently, some people have changed their IDs or opt for the alternative IDs--a.k.a multiple IDs!)LOL...
 
i only own one vehicle which takes me to all destinations in jf city lol
 
from 160 cm kushuka chini kwa mwanaume ni mfupiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

anhaa hapo sawa..kwa hesabu ya haraka haraka 160 cm..ni kama 5.3ft...basi hapa mnazungumzia dwarf mana hao ndo wapo below 5ft...yani kwa hii mada walengwa ni kama AKI na UKWA....
 
  • Thanks
Reactions: lin
yaani mungu aniepushie jamani siwataki vimbilikimo hata kuwasikia harufu yao sitaki hata kuwaona wana tabu hao gubuu limewajaaa
Dada omba sana, kuna mdada aliwakataa wachumba kwamba ni wafupi,akakaa weee,alipoona miaka imesonga ikabidi aolewe na mtu mfupi tena kutoka dini tofauti na yake.
 
yaani mungu aniepushie jamani siwataki vimbilikimo hata kuwasikia harufu yao sitaki hata kuwaona wana tabu hao gubuu limewajaaa
Mbona kama una uzoefu nao aliwahi kumdate mbilikimo au una ndugu mbilikimo?
 
Back
Top Bottom