Wanaume wabaya sana

Shangaziii hebu fungukaa zaidi, mbna km Una hoja hivi, unapaswa kusikilizwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Binamu hapo una dodosa tu upate umbea maana kichwa chako unakijua mwenyewe
 
Shangaziii hebu fungukaa zaidi, mbna km Una hoja hivi, unapaswa kusikilizwa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha shangazi nimemuonea huruma tu😂😂😂
 
Ukitaka udumu kwenye mahusiano na ndoa za siku hizi lazima ukubali kusalitiwa ni jambo la kawaida. Wa kwako peke yako hayupo dunia ya sasa.

Wengine siku hizi wamefikia hatua ya kujisemea cha muhimu nisijue
 
aisee [emoji23] kuna kauafadhali kuona dem kapigwa tukio[emoji23]sio kila siku wanaume ndo tunatia huruma huku jf[emoji23]
Huwa nafarijika sana kuona wanawake wamepigwa matukio, huwa nafurahi sana, kwa ground hawa wanawake wanatesa sana wanaume, hivyo ni haki yao na wao waumizwe.

Me ningefurah zaidi kama mtoa thread angealikwa kama msindikizaji kwenye harusi ya jamaa ake akimvisha pete dem mpya, pete iliyonunuliwa na mlalamikaj mtoa thread[emoji23].

Hili jambo lingetokea ningeshiriki namm kutoa mchango wa meza V.I.P [emoji23][emoji23]
 
Unamsalimia na wewe unaingia bafuni unaoga unabadili nguo unavaa kanga moja unaungana na mke mwenzio kumhudumia mume wenu mtarajiwa.

Maisha mafupi sana haya kunyang'anyana wanaume. Kizuri kula na mwenzio.

Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Hii ni violence[emoji23]
 
Wewe ni muhini tu[emoji23] unavoandikaga nyuzi magazeti kumbo ndo uko hivi[emoji23]
 
Hahaha eeeh akili za kishetani
 
Kwann unawaaminisha watu hvyo? Ni kitu kinawezekamasema fikra za watu wameona ndo kila mtu yupo hvyo siku izi
Kwa mfano sisi wanaume huwa haturidhiki na mwanamke mmoja tusiwadanganye dada zetu

Unaweza ukawa mke wangu au demu wangu na nakuhudumia vizuri lakini lazima nichepuke. Sisi ni watu wa tamaa mwanamke akinivutia nitataka nimgegede

Habari njema ni kwamba sisi wanaume hata tuchepuke upendo wetu unabaki palepale kwa yule tuliyempenda kikweli
 
Shem mbona unatuchamba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…