grand casual
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 255
- 161
- Thread starter
- #21
Wale wale tu!Japo mimi si mwanaume wa Dar lakini kwa hili nawatetea hawa sio wanaume wa Dar hawa wamarekani weusi au wasouth
Wale wale tu!Japo mimi si mwanaume wa Dar lakini kwa hili nawatetea hawa sio wanaume wa Dar hawa wamarekani weusi au wasouth
Wale watafiti wa ule utafiti nasikia walikuwa kumi yaani kati yao vichaa walikuwa wawili kama sio watatu.[emoji23][emoji23][emoji23] so ile takwimu ya 4:1 sio applicable hapa!
Wewe nawe utakuwa ni Tomaso hasiyeamini hadi aoneunajifanya kuwa wewe sio wa dar??[emoji13] [emoji13]
Eti michuzi ya pweza. Hata hawa? Nguvu za kiume ziwasaidie nini? Ona walivyolegea na kuvuta midomo!DaRisalama, halafu kutwa kucha wanakunywa michuzi ya pweza kuongeza nguvu za kiume!!!
[emoji23][emoji23][emoji40][emoji40][emoji124][emoji124][emoji124]Wale watafiti wa ule utafiti nasikia walikuwa kumi yaani kati yao vichaa walikuwa wawili kama sio watatu.
[emoji13] [emoji13] [emoji13]Eti michuzi ya pweza. Hata hawa? Nguvu za kiume ziwasaidie nini? Ona walivyolegea na kuvuta midomo!
Hamna Shida, tunaongea reality too! [emoji124][emoji124][emoji124]Mikoani mna shida sana, bila kutuongelea wanaume wa dar. Hamnyi ehhh
I will slaughter him wallah! [emoji34][emoji34]Dah....Heeeeeeh.....Haaaaaah, .....usikute mmoja wao ni mwanao.....aiseee.......
Hivi wazima kweli hawa kichwani??