sijui ni makengeza yangu. kuna mmoja namfananisha na commedian mpenda kuvaa uhusika wa kike kike!
We wa wapi? Hao chakula, ukiwaita wanaume mtakosanaWanaume mkuu!, Hebu waangalie vizuri!
Wapo dar mkuu hao, si yule mmoja mlimhoji kupitia tv ya fiesta majuzi anaitwa jina linafanana na Mungu ila kwa kizungu.Au sio wa Dar huyo?Wanaume wa kwenye Picha hao. Hata huko Dar sidhani kama wapo wa aina hiyo.