Maty
JF-Expert Member
- Aug 24, 2010
- 2,167
- 725
Kama hata lunch huwezi kujinunulia kazini unaenda kufanya nini?? Kunyosha miguu? Si ukae nyumbani tu ulee watoto kupunguza gharama za familia?
Ajabu mwe! sa hiyo ni kazi nayo au kitu gani? kuomba omba ni hulka ya mtu kuna midume mingine na familia zao lakini kutwa kuomba omba so hiyo ni tabia mbaya tu sio kwamba mume hakujali wala nini. Ukishafikia hatua hii na unafanya kazi ufe tu wakuzike huna faida duniani.