Wanaume wa Tanzania hawaogi, Hawafui nguo za ndani, Hawapigi mswaki?

Unajua tatizo kubwa la kunuka boxer ni kusimama kwenye daladala tena nyuma ya ****** ya wanawake waliopiga mchina. Ukitoka posta hd Mbzi utagundua hilo
 
huko facebook ni MAJANGA...watu wamemnyea kinoma...laiti na huku kungekua hakuna jela,ningefanya kitu....
 
wanaume wengi si makini sana katika usafi......na wana mjisho mikaliiiiiiiiiiiiiiii hiyo mijasho wasipoisafisha vizuri ni kweli huwa wananuka sana tena harufu ya kibeberu!

alichokosea huyu mrembo ya cloudz ni kuwajumuisha wanaume wote kwenye hayo maharufu

nadhani hajafunzwa vizuri kipi aongee wapi na kwa nani
 
...kuna mdada humu ana shobo kama za diva...nahisi ni mbaya hakuna mfano!...simo!

anakera balaa kila kitu anajua yeye kukosoa yeye .tatizo atuijui fb account yake tungemthaminisha au unaweza kuta ni mbaya kama mpika gongo
 
Soud brown gossip copy nae karusha 'diva niacheni' mpaka saivi yani wanamnukishia yeye pamoja na diva mbaya sijui hapa pangekuwa free ban zone pangechafukaje?
hadi wamemuanzishia page ,kudadek unajenga nyumba ya vioo unachokoza watoto wa uswazi lazma wa kufanye vibaya
 
Anatakiwa aje na maelezo ya kutosha. Auonyeshe utafiti alioufanya. ni upumbavu kuzungumzia kwa ujumla.
 
Hata siungani wala sipingi . .
Nasema tu muwaridhishe wale wanaounga mkono hoja.

Mkirua Kuweni na pair 5-7 za boxer na soksi ili muweze kubadilisha kila siku na kufua mara moja kwa wiki kama muda ni tatizo.

Nguo za ndani wewe unazo ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Hadi mtu aseme hawafui boksa or soksi inamaanisha kashawavulia wachafu wengi sana. Acha alitoe la moyoni.
 
Kwa ujumla Wabongo, Waume kwa Wake, wana body odor kali aka wananuka. Huhitaji ushahidi zaidi ya arrival "lounge" ya Airport Dar. Kwenye daladala wanaonuka zaidi ni Wanaume. All in all, Wanaume ni wachafu zaidi iujumla ukilinganisha na Wanawake across social class and age.
 
Back
Top Bottom