Wanaume wa style hii...

Franky

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2012
Posts
2,271
Reaction score
2,871
Mtanisamehe kama kuna mtu ashawahi post ya aina hii...
Nimekaa nikawaza nikaona wanaume wengi wanaopenda kutongoza huku kwenye social networks huwa ni wazito kuongea a.k.a madomo zege kwenye natural settings akiwa na mwanamke. Anakuwa mzito wa kuanzisha maongezi, anakosa basics za courting, anakuwa na less general confidence ivyo basi anaona njia rahisi ya kupata mwanamke ni through blind dates, so he lets his finger tips do the talk, afu wakipanga mihadi ya kukutana na manzi anataka kumalizia tu, mara nyingi anakosa umaliziaji mzuri, ndo maana manzi wengi wanatuona wazushi...
Wengine ni baada ya kujaribu bila mafanikio kwenye normal dates, either ashazoea kuchukua wanawake kwenye open spaces and sehemu mbalimbali za starehe lakini baada ya muda anaona ajaribu na blind date kidogo, funny though unaweza ukakutana na sexy beast au chombo...all in all it work both ways.....mwana jf wewe una mtazamo upi?
 
sio mbaya ni mtizamo wako tu na kisheria unaruhusiwa kabisa.Ila
na mm naomba nitoe mawazo yangu kwamba sehemu yoyote unaweza kutongoza sema
hii ya humu inakua digital zaidi mfumo wa kisasa na sio domo zege pole kwa kuwa kwenye
analogia.
 
Inategemea, bila kuskype hukutani na demu. mta text, baadae anadai skype! akikumind ndo mnakutana.
 
Number please!!! to support your arguments...Huwezi kufikia conclusion uliyofikia kwa kuwaza pekee.

 
sio mbaya ni mtizamo wako tu na kisheria unaruhusiwa kabisa.Ila
na mm naomba nitoe mawazo yangu kwamba sehemu yoyote unaweza kutongoza sema
hii ya humu inakua digital zaidi mfumo wa kisasa na sio domo zege pole kwa kuwa kwenye
analogia.

madomo zege sana
 
sasa sii wote na style yake bana....tatizo lipo wapi kama yeye domo zege....wacha achape na kumpata mrembo
 
Dhambi ambayo baadhi yetu hutenda ni kujichukulia kama kipimo cha wengine. Kama yamekukuta ni wewe na si wanaume kama unavyoonyesha kwenye kichwa cha habari. Kutongoza si kazi kwa watu wanaojiamini. Hivyo sioni kama usemacho ni kweli. Kuwa mkweli utueleze yaliyo kukuta tutakusaidia mwanangu. Mie nashauri ufanye mpango wende jandoni utakuga manju na nyakanga wengi.
 
sio mbaya ni mtizamo wako tu na kisheria unaruhusiwa kabisa.Ila
na mm naomba nitoe mawazo yangu kwamba sehemu yoyote unaweza kutongoza sema
hii ya humu inakua digital zaidi mfumo wa kisasa na sio domo zege pole kwa kuwa kwenye
analogia.
ndugu ushajaribu lakini? me kuna jemedari wangu ashafanya ivo na akaniomba back-up, kituko tulichokutana nacho ilibidi tupotee kimazingara kabla hatujashtukiwa....bora nibaki kwenye analogia kuliko ving'amuzi vyenu chenga chenga
 
haya mambo ya digital bwana unaweza ukawa unachati na mpenzi jini
 
Inategemea, bila kuskype hukutani na demu. mta text, baadae anadai skype! akikumind ndo mnakutana.
haya hapa kwenye kuskype next level me sina webcam sasa nafanyeje? i just take leap of faith na kuingia dating arena ntalokutana nalo linanihusu
 
kama kweli mwanaume unajiamini kwann utongoze kwenye social network wakati kuna plenty of beautiful women unakutana nao sehemu mbalimbali bila kuwasemesha? afu ukikaa mbele ya computer ndo unakua chief master kwa hao unaozipenda thread zao
 
kumbeeee.....
ndo maana hata matangazo yao huwa ni cheap, "natafuta mke" "natafuta mwanamke wa kuoa sichagui dini wala kabila"
"natafuta mchumba miaka 22-25"
he he he leo umewaweza kwakweli.......!!!!
 
kumbeeee.....
ndo maana hata matangazo yao huwa ni cheap, "natafuta mke" "natafuta mwanamke wa kuoa sichagui dini wala kabila"
"natafuta mchumba miaka 22-25"
he he he leo umewaweza kwakweli.......!!!!
we unacheka watu wanataka niua hapa...kweli ukweli unaboa
 
haya hapa kwenye kuskype next level me sina webcam sasa nafanyeje? i just take leap of faith na kuingia dating arena ntalokutana nalo linanihusu
Sasa si uendelee tu? Kama unaona hailipi tafuta njia nyingine.
 
I see pole mama Franky achana nae huyo tafuta mwingine.
 
Last edited by a moderator:
Sasa si uendelee tu? Kama unaona hailipi tafuta njia nyingine.
me sitaki skype, tweet, fb, operamini, nimbuzz, mig, bongomeet, bongo talk, watsup wala nn...me naenda zangu quality, mliman cty anywea nikiwa na muda and i keep it really, kip it the old fashion
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…