Wanaume wa siku hizi ni waoga kueleza hisia zao

Miss Champagne

JF-Expert Member
Sep 2, 2020
2,309
6,814
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao.

Tofauti na zamani, angalau wengi walikua brave pia tech haikuwa kubwa na Pana kama leo. Upo Dar unaelezea hisia zako kwa binti yupo Iringa au hata Marekani. Lakini zamani unam-face mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana tena.

Ishukuruni technology.
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au hata marekani.lakini zamani unamface mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana Tena.
Ishukuruni technology.
Acha uongo, zamani walikuwa wanawatumia wazee ila sisi tunamface kabisa
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au hata marekani.lakini zamani unamface mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana Tena.
Ishukuruni technology.
Sio wote mdogo wangu Miss Champagne
 
Hata na hivyo kutongoza si mchezo hasa ukute mwanamke macho makavu!enzi zile wanawake walikua na aibu hakuangalii anajikunjakunja,mara kung'ata kucha,kuchuma majani na kuvunja vijiti na kumpa mwanaume ujasiri wa kutema madini tofaut na hawa kizaz juaji mixer K~VANT
 
Ni waoga kuwaface live wanawake na kuwaeleza hisia zao
Tofauti na zamani.angalau wengi walikua brave pia tech haikua kubwa na Pana kama leo.upo dar unaelezea hisia zako Kwa Binti yupo iringa au hata marekani.lakini zamani unamface mpaka kieleweke.

Siku hizi kizazi hiki ujasiri Ule hawana Tena.
Ishukuruni technology.
Unaeleza hisia zako baada ya masaa machache,mtu anakuwa anadaiwa kodi,kioo cha simu kimevunjika anataka simu mpya,Anaumwa,anasikia njaa,viatu vyake vimeharibika, kila siku hana bundle.Hapo bado hajakuambia pesha zake za vikoba na mchezo ambao ana majina matatu, ndio maana sometimes tunakulaga buyu ili kuepusha stress husizo plan.
 
Back
Top Bottom