Wanaume wa mjini

Nimeelewa unawaongelea wa Dar....
 
Washauri basi, ili wajue jinsi mwanaume anavyotakiwa avae, atembee, aongee, afikiri nk., wamezaliwa mjini, wamekulia saloon, huenda hayo ndio maisha wanayoyajua.
 
Mwaka 2018wanaume wote watakuwa wanawake nasubir tu mm tutaitana shost muda sio mrefu
 
Kila siku nakusisitiza hama huko tandale.
Unaishije na wanaume hovyohovyo?
Au na wewe ni wa hovyoo?
 
Ni aibu na fedheha kwa mwanaume wa mjini kutokua smart..
 

Hapo akiwa amevaa kipensi chekundu au blue afu kakikunja !!!!mxeeeew
 
Hao wanaume wa dar huku kiranjeranje hakuna mambo hayo
 
Hapo kweli ataweza kupalilia boma, au kuwa na bustani, au kufuga kuku au kulinda boma toka kwa Panya RD, au hata kufanya kazi za kutumia nguvu kwenu?!
Inasikitisha sana kwa kweli...
 
Ukisema PEDICURE unamaanisha wanaume wa mjini wanavaa PEDI au? Hebu nieleweshe mwanaume wa mkoani.
Kwa tafsiri niliyonayo baada ya kutembelea kamusi ya Eng-Swahili hiyo "pedi" haibadiliki inabaki pedi. "Cure" ni kutibu hivyo ukiunganisha ni kutibu pedi japo sijawahi kusikia huu ugonjwa.

Kwa upande wa "manicure" kwa njia niliyotumia hapo juu: "mani" unaongezea tu "i" mwisho na cure inabaki kama awali kutibu. Hivyo "Manicure" ni kutibu manii. Duniani kuna magonjwa mengi sana siku hizi huwezi amini haya magonjwa siyajui kabisa.
 
Zama zimebadilika mkuu sio kila homa ni malaria.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…