Wanaume wa mjini

Inasikitisha sana...

Barabara ya kweni naona imechimbwa chimbwa...


Cc: mahondaw
 
kwa mtindo huu mimi dar sitofika

ngoja nibakie mkoani
 
Aisee hahahah!!!naishi mjini tena ule mji unaorushiwa kila aina ya tuhma ila kwa hili sitapinga maana mjini siku hizi kila mtu ana ki-bag ukimuuliza je ndugu una safari anakujibu hapana,yaani mtu siku saba za wiki begi analo kama mwanafunzi na ukisema umvizie uone anatoa nini labda akitumie kwenye shughuli zake huoni akitoa kitu.may be ni hivyo vitu vilivyotajwa hapo juu.
 
Hahaha wanaume wa dizain hii mi huaga nawakwepa hakyanani,mi mwenyew kujiremba ni 0 nkakutane na mwanaume anapaka lipshine,anatinda nyusi,hahaha tuanze kugombania vioo inahu?
 
Ukikutana na vijana kuanzia wawili na vibegi vyao mgongoni kuwa makini sana ndugu yangu, hasa wakiwa na bodaboda
.. siku hizi siyo bangi tu, wanabeba hadi bunduki!
 
Tena wakishapaka vaselin mdomoni wa kuongea wanalamba lips zao
Labda wanawageza LL Cool J na Michael Jordan, nao wanalamba lips na ni wanaume wa mjini.

Waacheni jamani.

Kwani wamewalazimisha kitu?
 
Khaaaaaaa!!!!
 
si useme ukweli kuwa Mme wako sio Liziki ili tukupe ushauri sasa unahanza kuzunguka zunguka ili iweje

useme ukweli Mme wako anavyonyoa kiduku nakutembea na losheni ....itakuwa mmekutana Ambao...mnatoa service 071.....
 
mmekutana nyote watu wa 071 sasa mnaanA kuanikana mitandaoni...
 
Mmmmmhhh sasa na ww mbona unatuandama sana.....tutakonda sasa...!!!
 
hahaaa namna mnalipiza ...daahhh ila hyo ya deodorant hiyo hhaaa sisemi kitu aisee
 
Hizi ni tabia za kikekike hazifai kwa mwanaume anayejielewa.
 
Wakinuka jasho maneno wakijiweka safi maneno...
Enyi wanawake ni nani alie waroga?

Mbona nini mnapenda?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…